Bwana Jela
Senior Member
- Nov 25, 2019
- 131
- 655
Magufuli tena
MAAFA ALIYOWAFANYIA WATANZANIA
Huyu huyu ambaye hela zetu kwa wahanga wantetemeko alivifuja?
atuambie kwanini kajenga uwanja wa ndege wa kimataifa kijijini kwake.
Ilhali akistaafu hautatumika!!
Angekua na huruma na upendo angewadhulumu watumishi wa umma kwa miaka yote hii mitano kwa kutowapandisha madaraja na kuwaongezea mishahara ili tu apate 10% kwenye kununua ndege bila ya kufuata taratibu?
Huyu huyu ambaye hela zetu kwa wahanga wantetemeko alivifuja?
MAAFA ALIYOWAFANYIA WATANZANIA
1. 16/38 risasi, sep/7
2. Ben Saanane
3. Azory
4. Mawazo
5. Mkiru...over 1,000 people dead
6. Uncountable Coco beach sandarusi maitii
7. and many any other atrocities due to be identified when time is ripe!
...Orodha inaendelea
8. Offisi ya Fatma Karume kupigwa mabomu
9. Akwilina Aquilin
10. Makonda kuvamia kituo za Clouds
11. Ubambikizaji wa kesi
12. Kuwanyima maendeleo wasiochagua CCM
13. Dotto James
14. Mayanga Construction
15. Utumiaji wa watumishi na mali za serikali kwenye kampeni za CCM
16. Msafara wa kampeni wa Lissu kushambuliwa na polisi
17. Msafara wa kampeni wa Lissu kushambuliwa na wanachama wa CCM
Ziliwafikia walengwa?Hakuzifuja hizo ni propaganda
Ziliwafikia walengwa?
horror movie starMAAFA ALIYOWAFANYIA WATANZANIA
1. 16/38 risasi, sep/7
2. Ben Saanane
3. Azory
4. Mawazo
5. Mkiru...over 1,000 people dead
6. Uncountable Coco beach sandarusi maitii
7. and many any other atrocities due to be identified when time is ripe!
...Orodha inaendelea
8. Offisi ya Fatma Karume kupigwa mabomu
9. Akwilina Aquilin
10. Makonda kuvamia kituo za Clouds
11. Ubambikizaji wa kesi
12. Kuwanyima maendeleo wasiochagua CCM
13. Dotto James
14. Mayanga Construction
15. Utumiaji wa watumishi na mali za serikali kwenye kampeni za CCM
16. Msafara wa kampeni wa Lissu kushambuliwa na polisi
17. Msafara wa kampeni wa Lissu kushambuliwa na wanachama wa CCM
Mkuu huu ni upotoshaji
Upotoshaji uko wapi sasa? Unafahamu ya kwamba Watumishi wa umma walio ajiriwa mwaka 2014 mpaka mwaka huu wa 2020 wanaishi kwa mshahara ule ule?
Unafahamu Watumishi wa waliopanda madaraja kwa mara ya mwisho 2015 wakati wa utawala wa JK mpaka sasa wameingia mwaka wa 6 wa kiutumishi, bado wanaishi kwa mshahara ule ule?
Halafu watu wanapodai haki zao, mtu bila hata ya aibu usoni kwenye siku ya wafanyakazi aliyoalikwa kama mgeni rasmi, anajitetea kupeleka hela kununulia ndege! Sasa watumishi wa kipato cha chini hizo ndege zinawasaidia nini! Halafu eti 'ana huruma na upendo' Labda kwa hao akina Polepole, Jaffo, Kabudi, Katambi, nk. Aliowatoa jalalani.
Ni vigumu kuamini uwongo wako
Ni haki yako kutoamini kwa sababu kila kitu hapo ulipo unakipata pasipo kutoa jasho. Siku yako na wewe itafika. Tutakua tu pamoja katika haya mapambano ya kuutokomeza udikteata uchwara nchini mwetu.
Wafanyakazi wameongezewa mishahara kwa miaka 5? (nao ni uzushi)Huu ni uzushi tu Mkuu
Wafanyakazi wameongezewa mishahara kwa miaka 5? (nao ni uzushi)
Kumbe naongea na msukule.. uwe na mchana mwemaNinaamini sana wameongezewa ndugu yangu, Rais Magufuli anahuruma