Vizuri kama kaweka hiyo exclusion kua akipata mimba asirudi shule za serikali.
Ila hii sioni kama ni nzuri, watoto wengi wanaopata mimba wakiwa shuleni ni watoto wa maskini wanaosoma shule za kata ambapo wanakua katika changamoto kubwa hivyo kushawishika kuvuliwa chupi.
Akisema hakuna kurudi shuleni, sioni kama ni sawa.
Nimesoma shule ya kata miaka minne.....sijawahi kujazwa .......namuunga mkono rais litoto likipata mimba likae hukohuko....mitoto ya siku hizi ina tamaa balaaVizuri kama kaweka hiyo exclusion kua akipata mimba asirudi shule za serikali.
Ila hii sioni kama ni nzuri, watoto wengi wanaopata mimba wakiwa shuleni ni watoto wa maskini wanaosoma shule za kata ambapo wanakua katika changamoto kubwa hivyo kushawishika kuvuliwa chupi.
Akisema hakuna kurudi shuleni, sioni kama ni sawa.
We unayo sura mbaya ndio maana hujajazwa. Miaka mi4 yote hujapigwa sound na men, we jisura lako bayaNimesoma shule ya kata miaka minne.....sijawahi kujazwa .......namuunga mkono rais litoto likipata mimba likae hukohuko....mitoto ya siku hizi ina tamaa balaa
Mkuu mbona unausingizia sana umaskini? Hata kupata kupata mimba una husisha na umaskini pamoja na shule za kata?Vizuri kama kaweka hiyo exclusion kua akipata mimba asirudi shule za serikali.
Ila hii sioni kama ni nzuri, watoto wengi wanaopata mimba wakiwa shuleni ni watoto wa maskini wanaosoma shule za kata ambapo wanakua katika changamoto kubwa hivyo kushawishika kuvuliwa chupi.
Akisema hakuna kurudi shuleni, sioni kama ni sawa.
Ungeniona fasta tu ungetangaza ndoaWe unayo sura mbaya ndio maana hujajazwa. Miaka mi4 yote hujapigwa sound na men, we jisura lako baya
Mkuu umasikini ni chanzo cha matatizo mengi.Mkuu mbona unausingizia sana umaskini? Hata kupata kupata mimba una husisha na umaskini pamoja na shule za kata?
Ni sawa unachokisena ila huoni kuruhusu hilo litahalalisha hizo unazoziita changamoto ama kurubuniwa kuwa kitu cha kawaida?Mkuu umasikini ni chanzo cha matatizo mengi.
Nadhani unaona hata watoto wa kike wanashindwa kwenda shule kipindi wakiingia kwenye mzunguko wao wa hedhi kwa kukosa 1200 ya kununulia taulo za usafi. Matatizo kama hayo huwezi kuyaona shuke binafsi za bweni maana hivyo vitu wanapewa.
Unasikini unachangia mahuzurio mabaya shuleni, watoto wa kike wanakua exposed kwenye hatari ya wanaume ili wapate hela ya kuwasaidia kuishi.
Watoto wengi wanaopata mimba ni wa shule za kata, kwa kua muda mwingine wanajikuta katika mazingira ya kushawishika kitu ambacho sio rahisi kukuta kwenye shule binafsi .