Ndio maana hata sera ya elimu bure wamekurupukia lakini haina unafuu wowote zaidi ya kuondoa ada ya sekondari lakini michango mingine iko palepale,watoto wanarundikana madarasani na hawana madawati ya kutoshaMwizi wa Sera za Lissu na ni Muongo asie na Kumbukumbu
Hizi comments zinaonyesha ni namna gan hawa ccm wamechokwa,, ukiwauliza wanasema hili ni kundi dogo la mitandaon sasa najiuliza ukienda twitter hapafai hamna anaetaka sikia neno ccm, ukija hapa ndio kabisa, ukipita vijiwen hapafai kabiss, ukienda vijijin wazee wanatoa machoz waonapo upinzani sasa najiuliza hilo kundi lao kubwa liko waap?
Hapo sawa mkuuKundi lao lipo kwenye vyombo vya dola Mkuu.