Jezebel
JF-Expert Member
- May 7, 2016
- 218
- 426
Hata kama hutanii huo ndio UKWELI
Hata kama hutanii huo ndio UKWELI
Kumbe angepelekwa Milembe badala ya PolisiNi mgonjwa huyo Dr, pale alikuwa anawachora tu, alisoma Russian na Ni specialist wa moyo japo hajawai ku practice kwa kifupi police wakifuatilia history yake watamwachia
Kupoteza muda tu ili siku ipite.Nnachojiuliza kama hana hiyo hela kaenda kutafuta nn hapo jamani
Lazima pesa zitakuwa Urusi, manake hata viatu vya maana hawezi kununua bila pesa za urusi!!!Kuna mzee mmoja alinitonya eti anahela kaziweka urusi alishawai kufanya kazi kule
kikiNnachojiuliza kama hana hiyo hela kaenda kutafuta nn hapo jamani
Ngoja tuone mwisho wa hii movieLazima pesa zitakuwa Urusi, manake hata viatu vya maana hawezi kununua bila pesa za urusi!!!
Hahahaha unakazia!Hata kama hutanii huo ndio UKWELI
Wanajisikia fresh maana baba kanunua majumbaMimi ninachojua ana watoto na family, sijui wanajisikiaje mda huu
wala hutaniiMbona hana hadhi ya kuwa na hela....natania