Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,766
Hakuna mtu anayeweza kataa ushauri wa taasisi ya kijasusi. Kwa kifupi hawakumshauri kitu maana hawakua na cha kumshauri.Kama mlishauri, mlishauri nini hadi kufikia hatua ndege yetu kukamatwa?
Au unataka kusema mlishauri Jiwe lakini akapuzia?
Upo sahihi ila unakwepa mada! Kwa maana yako hii ni kuwa unaungana nae kuwa kazi ni kusaka.......wa ndani tuu?Usichokijua ni bora tu kukaa kimya. Una uhakika gani kuwa hizi allegations zako TISS walikuwa hawazifahamu?
Una uhakika gani kuwa TISS hawakishauri lolote kabla ya haya kutokea?
Tanzania tuna bahati ya kuwa taasisi imara. Hata wewe wakiamua kudeploy resources na kukufikia usiku huu wanakupata.
Usiku mwema!!
Akiamu asikamatwe hakamatwi, ukiamua kufanya jambo serious unaweza tu kukwepa auUsichokijua ni bora tu kukaa kimya. Una uhakika gani kuwa hizi allegations zako TISS walikuwa hawazifahamu?
Una uhakika gani kuwa TISS hawakishauri lolote kabla ya haya kutokea?
Tanzania tuna bahati ya kuwa taasisi imara. Hata wewe wakiamua kudeploy resources na kukufikia usiku huu wanakupata.
Usiku mwema!!
Usichokijua ni bora tu kukaa kimya. Una uhakika gani kuwa hizi allegations zako TISS walikuwa hawazifahamu?
Una uhakika gani kuwa TISS hawakishauri lolote kabla ya haya kutokea?
Tanzania tuna bahati ya kuwa taasisi imara. Hata wewe wakiamua kudeploy resources na kukufikia usiku huu wanakupata.
Usiku mwema!!
hata kama.Usichokijua ni bora tu kukaa kimya. Una uhakika gani kuwa hizi allegations zako TISS walikuwa hawazifahamu?
Una uhakika gani kuwa TISS hawakishauri lolote kabla ya haya kutokea?
Tanzania tuna bahati ya kuwa taasisi imara. Hata wewe wakiamua kudeploy resources na kukufikia usiku huu wanakupata.
Usiku mwema!!
Ila we jamaaSasa mbona umeshindwa kutuondolea codes ktk post yako! Ni nani ambae ulipostuka mission accomplished na kumbe alikuwa Tiss.
inategemea umeshauri kitu gani..Hakuna mtu anayeweza kataa ushauri wa taasisi ya kijasusi. Kwa kifupi hawakumshauri kitu maana hawakua na cha kumshauri.
Yaani muandamanaji mmoja amebeba bango eti Nyie Wasauzi tuliwasaidia nyinyi kuwashinda makaburu duh!
Sasa ina maana kama uliisaidia nchi kupata uhuru ndo uingilie utaratibu wake wa kujiendesha kama taifa huru?
Usichokijua ni bora tu kukaa kimya. Una uhakika gani kuwa hizi allegations zako TISS walikuwa hawazifahamu?
Una uhakika gani kuwa TISS hawakishauri lolote kabla ya haya kutokea?
Tanzania tuna bahati ya kuwa taasisi imara. Hata wewe wakiamua kudeploy resources na kukufikia usiku huu wanakupata.
Usiku mwema!!
Mafisadi wana hasira sana!!! Dr. endelea mbele, makelele haya ni dalili kuwa unafanya kazi nzuri!!! Wenye akili zao wanaelewa kazi muhimu inayofanywa na serikali na idara hii muhimu unayoiongoza Dr inafanya kazi nzuri sana! Mafisadi na wahujumu uchumi hawana pa kupumulia!. Wana ndoto za mchana kuwa Dr ukiondoka watapumua! Wanajidanganya! Kaza Uzi na waondoke wao!!!!Mwenye access ya username yake am-tag shushushu namba wani.
UKIWA UVCCM TUInasikitisha sana sijui wanatumia recruitment gani siku izi unabaki kujiuliza wanawatoa wapi