Tuliandika humu kuwa anachokitafuta atakipata, bora ya Dr. Musukuma kuliko huyo KimeoTulionya mapema sana kwamba mikutano ya hadhara si kwa kila mtu .
Huko Vunjo Dr Kimei amekiona cha moto kwa wananchi kukosekana kwenye mkutano wake wa hadhara , ambao umeandaliwa kwa gharama kubwa , yaani hata vile viti 20 alivyoviandaa havikupata watu wa kuvikalia ! Noma sana !
Onyo : Mikutano ya hadhara siyo semina za CRDB .
Ukiwa CHADEMA huwa akili zinapotea kwanza? Kichwa cha habari kinasema Rombo ila habari inaongelea Vunjo...!! Rombo na Vunjo ni sehemu mbili tofauti kabisa. Mkuu jitahidi uwe unapata milo mitatu kwa siku.. inasaidia sana kwenye afya ya akili.Tulionya mapema sana kwamba mikutano ya hadhara si kwa kila mtu .
Huko Vunjo Dr Kimei amekiona cha moto kwa wananchi kukosekana kwenye mkutano wake wa hadhara , ambao umeandaliwa kwa gharama kubwa , yaani hata vile viti 20 alivyoviandaa havikupata watu wa kuvikalia ! Noma sana !
Onyo : Mikutano ya hadhara siyo semina za CRDB .
Tulionya mapema sana kwamba mikutano ya hadhara si kwa kila mtu .
Huko Vunjo Dr Kimei amekiona cha moto kwa wananchi kukosekana kwenye mkutano wake wa hadhara , ambao umeandaliwa kwa gharama kubwa , yaani hata vile viti 20 alivyoviandaa havikupata watu wa kuvikalia ! Noma sana !
Onyo : Mikutano ya hadhara siyo semina za CRDB .
Nimeshangaa kwa nini Rais alilazimika kuwateua watu kuwa Wabunge ili awape uwaziri wakati vichwa kama Kimeo vipo. Au labda vetting imegoma....atakuwa na chembe chembe za ki Chadema au huenda alipokuwa CRDB alikwapua mzigoAlifuata uwaziri wa fedha, Mwigulu akamzidi kete...
Kimei ni kimeo. Mkabila sana mzee yule...Nimeshangaa kwa nini Rais alilazimika kuwateua watu kuwa Wabunge ili awape uwaziri wakati vichwa kama Kimeo vipo. Au labda vetting imegoma....atakuwa na chembe chembe za ki Chadema au huenda alipokuwa CRDB alikwapua mzigo
Rekebisha; Vunjo Haipo Rombo.Tulionya mapema sana kwamba mikutano ya hadhara si kwa kila mtu .
Huko Vunjo Dr Kimei amekiona cha moto kwa wananchi kukosekana kwenye mkutano wake wa hadhara , ambao umeandaliwa kwa gharama kubwa , yaani hata vile viti 20 alivyoviandaa havikupata watu wa kuvikalia ! Noma sana !
Onyo : Mikutano ya hadhara siyo semina za CRDB .
Akileta picha za mkutano wa Vunjo naacha kabisa kushiriki JF.Ujinga wa mleta mada asiyejua kutofautisha hata Vunjo na Rombo ndio utufanye tuamini.Mkutano wa Vunjo umefanyika wapi?Njiapanda, Himo mjini,Marangu Mtoni,Makuyuni au wapi?Rekebisha; Vunjo Haipo Rombo.
Rombo Ni Wilaya inayojitegemea katika Wilaya za Mkoa wa Kilimanjaro.
Vunjo Inapatikana Wilaya ya Moshi Vijijini, na Ofisi ya Mbunge wa Vunjo inapatikana Mji mdogo wa Himo.
umeuliza kilichojibiwa na uka like , sasa sijui ni makuzi au umeamua kunisumbua tuKimei vs Rombo
Wapi na wapi??
Au alimyima jiwe hela kama ManjiNimeshangaa kwa nini Rais alilazimika kuwateua watu kuwa Wabunge ili awape uwaziri wakati vichwa kama Kimeo vipo. Au labda vetting imegoma....atakuwa na chembe chembe za ki Chadema au huenda alipokuwa CRDB alikwapua mzigo
Du chadema unawaza kushinda uchaguzi wa wabunge asilimia 98 maajabu haya.wako asilimia 98 , kabudi na Babu Tale ndani
Alimtegemea mwanadamu mmoja kwa faida yake, huko ni kukengeukaAmewakosea nn huko rombo na aliwasogezea huduma za kibenki mpaka huko migomban
Kaama hata wapiga picha hawakufika basi huyo ifakaraTulionya mapema sana kwamba mikutano ya hadhara si kwa kila mtu .
Huko Vunjo Dr Kimei amekiona cha moto kwa wananchi kukosekana kwenye mkutano wake wa hadhara , ambao umeandaliwa kwa gharama kubwa , yaani hata vile viti 20 alivyoviandaa havikupata watu wa kuvikalia ! Noma sana !
Onyo : Mikutano ya hadhara siyo semina za CRDB .
Kwa jinsi mwigulu anavyopiga tunguli ni ngumu kumtoa kwenye hicho kiti.Alifuata uwaziri wa fedha, Mwigulu akamzidi kete...