Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,019
- 288,351
- Thread starter
-
- #21
[emoji38][emoji38][emoji38]Uroho wa kishamba yaani unastaafu ukapewa gari ya million 800 ya kutembelea na hapo umetoka kwny salary ya zaidi ya 18m kwa mwezi then unarudi kupigania salary ya 12m plus uchawi na husuda kibao...
Tamaa mbaya ,
Safi sana, wexi wa kura sasa wanaanza kuuona ukweli. Weka picha kidogoTulionya mapema sana kwamba mikutano ya hadhara si kwa kila mtu .
Huko Rombo Dr Kimei amekiona cha moto kwa wananchi kukosekana kwenye mkutano wake wa hadhara , ambao umeandaliwa kwa gharama kubwa , yaani hata vile viti 20 alivyoviandaa havikupata watu wa kuvikalia ! Noma sana !
Onyo : Mikutano ya hadhara siyo semina za CRDB .
Very true amekaa CRDB miaka zaidi ya 15, as CEO na mshahara mkubwa na "wizi" hapo hapo, bado uroho wa madaraka anakwenda kuiba kura akisaidiwa na Maguyfuli, bladifakenUroho wa kishamba yaani unastaafu ukapewa gari ya million 800 ya kutembelea na hapo umetoka kwny salary ya zaidi ya 18m kwa mwezi then unarudi kupigania salary ya 12m plus uchawi na husuda kibao...
Tamaa mbaya ,
Kimei amekosa uungwana kwhy acha adharaulike ,,,CEO uliyestaafu kwny mamilioni unatamanije kazi za akina msukuma...hakuna mchaga sijui mpare shallow namna ile..umri wa kupumzika unarudije kutukanana na vijana uliowazaa..Ni kukosa hekima.Very true amekaa CRDB miaka zaidi ya 15, as CEO na mshahara mkubwa na "wizi" hapo hapo, bado uroho wa madaraka anakwenda kuiba kura akisaidiwa na Maguyfuli, bladifaken
Uroho wa kishamba yaani unastaafu ukapewa gari ya million 800 ya kutembelea na hapo umetoka kwny salary ya zaidi ya 18m kwa mwezi then unarudi kupigania salary ya 12m plus uchawi na husuda kibao...
Tamaa mbaya ,
Dah !!!Tumekuwa mateka wa fedha, tunahangaishwa na fedha hata kufa. Tumelaaniwa! Hatuna kiasi. Kwa alipofikia Dr. Kimei sio wa kwenda tena kupigapiga meza bungeni.
Yes , nilikusudia Vunjo , asante sana , moderator anaweza kutusaidia kurekebishaDr Kimei ni mbunge wa Vunjo. Huko Rombo ameenda kufanya nini.
JESUS IS LORD
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Unaambiwa eti hela haitoshi, kwa mshahara aliokuwa nao kwa kipindi chote cha U CEO na mitikasi yake sidhani kama account yake inapungua 40 billions in cash ila still anahangaika na ujingaTumekuwa mateka wa fedha, tunahangaishwa na fedha hata kufa. Tumelaaniwa! Hatuna kiasi. Kwa alipofikia Dr. Kimei sio wa kwenda tena kupigapiga meza bungeni.
Hivi Kabudi na Lukuvi bado ni wabunge ?wako asilimia 98 , kabudi na Babu Tale ndani
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Unaambiwa eti hela haitoshi, kwa mshahara aliokuwa nao kwa kipindi chote cha U CEO na mitikasi yake sidhani kama account yake inapungua 40 billions in cash ila still anahangaika na ujinga
We kuna kitu kinakuwasha Kimei siyo mbunge wa RomboTulionya mapema sana kwamba mikutano ya hadhara si kwa kila mtu .
Huko Vunjo Dr Kimei amekiona cha moto kwa wananchi kukosekana kwenye mkutano wake wa hadhara , ambao umeandaliwa kwa gharama kubwa , yaani hata vile viti 20 alivyoviandaa havikupata watu wa kuvikalia ! Noma sana !
Onyo : Mikutano ya hadhara siyo semina za CRDB .
Siwashwi na chochote ila namuomba Moderator anirekebishie iwe Vunjo badala ya Rombo
Aheri kimei angepewa waziri wa fedha, huyu madilu system ni shida tupu hana uzoefu wa mambo ya finance.Alifuata uwaziri wa fedha, Mwigulu akamzidi kete...