Waziri mstaafu wa Maliasili na Utalii Dr Kigwangalla amesema anajivunia kuongeza idadi ya watalii, kuongeza mapato ya serikali na kuanzisha Jeshi Usu katika wizara hiyo wakati wa uongozi wake.