Dkt. Kigwangalla: Najivunia kuongeza idadi ya Watalii, kuongeza mapato na kuanzisha Jeshi Usu

Waziri mstaafu wa Maliasili na Utalii Dr Kigwangalla amesema anajivunia kuongeza idadi ya watalii, kuongeza mapato ya serikali na kuanzisha Jeshi Usu katika wizara hiyo wakati wa uongozi wake.

Mungu ni mwema wakati wote!
Kipindi cha meko data zilikuwa zinapikwa
 
Waziri mstaafu wa Maliasili na Utalii Dr Kigwangalla amesema anajivunia kuongeza idadi ya watalii, kuongeza mapato ya serikali na kuanzisha Jeshi Usu katika wizara hiyo wakati wa uongozi wake.

Mungu ni mwema wakati wote!
Kigwangala namuona muongo muongo tu kama Kingai.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom