Dkt. Kahyoza: Ubia unaziba Fiscal hole ya Serikali

Mwananchi Huru

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2021
Posts
2,513
Reaction score
2,196
==
Ukimsikiliza vizuri Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila ukamsikiliza na huyu Dkt Bravious Kahyoza utagundua hawa jamaa wanamadini sana vichwani mwao tutake tukatae.

Hapa Dkt Bravious Kahyoza anasema kama Serikali itakuwa serious na Ubia basi itapunguza kitu linaitwa Fiscal hole au black hole ya Serikali kwani Miradi Mingi hasa ya kibiashara itabebwa na Sekta binafsi na hivyo kupunguza hii nakisi ya bajeti ya Serikali.

Msikilize mpaka mwisho,

View attachment 3374131
Hivi hizi theory ni Kafulila anajijiandikia mwenyewe au amemwajiri mtu wa kufanya hiyo kazi?
 
1000040428.jpg
 
==
Ukimsikiliza vizuri Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila ukamsikiliza na huyu Dkt Bravious Kahyoza utagundua hawa jamaa wanamadini sana vichwani mwao tutake tukatae.

Hapa Dkt Bravious Kahyoza anasema kama Serikali itakuwa serious na Ubia basi itapunguza kitu linaitwa Fiscal hole au black hole ya Serikali kwani Miradi Mingi hasa ya kibiashara itabebwa na Sekta binafsi na hivyo kupunguza hii nakisi ya bajeti ya Serikali.

Msikilize mpaka mwisho,
View attachment 3374131
Huyu jamaa kama ni Kafulila aisee
 
hii nafasi ya kafulila angestahili kupewa Eng Evariste Ndikilo, huyu wakati akiwa mkuu wa mkoa wa pwani kajenga viwanda mkoa mzima, huyu kafulila kawa mwenezi bora ahamie kwenye chama asaidizane na amosi makalla
 
Back
Top Bottom