Dkt Hussein Mwinyi nakukumbusha!

Dkt Hussein Mwinyi nakukumbusha!

The Zanzibar Echo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2025
Posts
490
Reaction score
836
Ningependa kumkumbusha rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Hussein Mwinyi kuwanunulia watoto wa maskin, mayatima na wasiojiweza viatu vya kuendea shule.

Nakukumbuka enzi za utawala wa Dr. Shein nilipokua primary alikua anagawa viatu shule zote za Zanzibar kuanzia primary hadi secondary.
Leo nayasema haya baada ya kufanya tafiti ya mda mrefu watoto wengi hasa shule za shamba wanaenda shule bila viatu jambo ambalo halileti picha nzur kwa serekali yako.
Sio kwamba watoto hawa hawataki kuvaa viatu au uniform mpya ila wamekosa kutokana na wazazi kukosa uwezo.
Asante sana
Mwananchi wako
CEO the Zanzibar Echo
 
UJUMBE MZURI
MIMI NINGEPENDELEA ZAIDI SERIKALI KUFANYIA KAZI N
1.1.WALIMU WA KUTOSHA NA WAZURI
2. ZANA ZA KUSOMEA
3. KUPUNGUZA MSONGAMANO MKUBWA DARASANI
4. KUSHUGHULIKIA MAHUDHURIIO YA WALIMU (URORO NA UCHELEWAJI)
5. CHANGAMOTO YA BAADHI YA WANAFUNZI KUJULIKANA.

LAKINI NDUGU YANGU UNAMKUMBUSHA RAISI SASA HIVI WAKATI ZIMEBAKI SIKU SABINI NA MOJAKUPIGA KURA?
NA HAIJULIKANI KAMA ATAENDELEA YEYE AU ATAPATIKANA RAIS MWENGINE.

TUOMBE KHERI
 
Ccm kuondoka ni ngumu dada yangu
 
Hakika umemkumbusha jambo jema lenye heri na baraka. Hata marehemu Ally Hassan Mwinyi baba yake alikuwa akienda shule pasipo kuvaa viatu na alitembea umbali mrefu.

Nimebahatika kusoma kitabu cha Mzee Ally Hassan Mwinyi.
 
Back
Top Bottom