Dkt. Goodluck Ole Medeye arejea rasmi CCM

Dkt. Goodluck Ole Medeye arejea rasmi CCM

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
1,605
Reaction score
1,957
Wadau,

Aliyewahi kuwa Mbunge na Naibu Waziri katika Serikali ya awamu ya 4, badae akahamia CHADEMA kabla ya kutimkia UDP, Dkt. Goodluck Ole Medeye amerejea rasmi CCM leo.

Amedai ameridhishwa na kasi ya utendaji kazi wa Serikali ya awamu ya tano chini ya JPM.

Karibuni.
 
Upinzani hakuna mali za dhuluma waliozoea kupata kwa njia za dhuluma wataendelea kurudi CCM kuendelea kupata kwa dhuluma.
 
Back
Top Bottom