Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,564
- 2,483
MBUNGE wa Jimbo la Same magharibi mkoani Kilimanjaro, Dkt. David Mathayo amechukua fomu ya kuwania Ubunge katika jimbo hilo kwa awamu nyingine.
Mbunge huyo ambaye ameongoza kwa vipindi 4 mfulizo amedai kuwa anataka kuendeleza alipoishia katika kuwaletea wananchi maendeleo.
Mathayo alifika katika katika ofisi za ccm wilaya ya same majira ya saa mbili kasoro za asubuhi na kupokelewa na Katibu wa CCM wilaya, Amos Kusakula na kukabidhiwa fomu hiyo.