Dkt. Biteko: Rais Samia anachukizwa Haki za Kidini zikipuuzwa

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt Doto Biteko amesema Rais Samia Suluhu Hassan anasikitishwa anapoona haki za kidini zinapuuzwa na anapenda kufanya kazi na viongozi wa dini na akiwaalika ili kuzungumza masuala mbalimbali ya kitaifa.

"Mheshimiwa Rais Samia anapenda kufanya kazi na viongozi wa dini na ninyi ni mashahidi amekuwa akiwaalika ili tuzungumze masuala mbalimbali ya kitaifa ingekuwa ni mtu anayejifungia ndani na akasema analo jeshi, sheria, katiba na vyombo vya ulinzi basi nitafanya kazi nadhani hivi ingekuwa ngumu sana lakini yeye amesema milango yetu iwe wazi tuzungumze na viongozi wa dini kwa ajili ya kutafuta mustakabali wa nchi yetu pale ambapo tunadhani hatuendi sawasawa,"

Dkt. Biteko amesema hayo Julai 3, 2025 jijini Dodoma wakati akimwakilisha Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano Mkuu wa 32 wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT).

Kumekuwa na hii tabia ya kumsemea Samia. Nimesikia Makalla akimsemea Samia pia leo.

Kwani Samia mwenyewe hawezi kusema tukamsikia?

Zaidi, kwa nini marais wa Tanzania ni nadra sana kufanya press conference na waandishi wa habari, wakaulizwa maswali ya hapo kwa papo, wakajibu?

Sasa hivi nchi ipo katika tafrani nyingi zenye maswali mengi, kwa nini rais hajitokezi na kukaa na waandishi akajibu maswali?
 
images (8).jpeg
 
"Mheshimiwa Rais Samia anapenda kufanya kazi na viongozi wa dini na ninyi ni mashahidi amekuwa akiwaalika ili tuzungumze masuala mbalimbali ya kitaifa ingekuwa ni mtu anayejifungia ndani na akasema analo jeshi, sheria, katiba na vyombo vya ulinzi basi nitafanya kazi nadhani hivi ingekuwa ngumu sana lakini yeye amesema milango yetu iwe wazi tuzungumze na viongozi wa dini kwa ajili ya kutafuta mustakabali wa nchi yetu pale ambapo tunadhani hatuendi sawasawa,"

Dkt. Biteko amesema hayo Julai 3, 2025 jijini Dodoma wakati akimwakilisha Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano Mkuu wa 32 wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT).
20250313_004818.jpg
 
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema Rais Samia Suluhu Hassan anasikitishwa anapoona haki za kidini zinapuuzwa na anapenda kufanya kazi na viongozi wa dini na akiwaalika ili kuzungumza masuala mbalimbali ya kitaifa.

Dk Biteko ameyasema hayo leo Julai 3, 2025 jijini Dodoma wakati akimwakilisha Rais Dk Samia Suluhu Hassan katika Mkutano Mkuu wa 32 wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT).
 
Attachments

  • 20250703-1327-41.9560223.mp4
    23.6 MB
Kwanini wanasiasa hupewa airtime kwenye majukwaa ya kidini kwenda kuzungumza unafiq?

Wanasiasa kama ni kuzungumza masuala ya dini ingefaa wazungumze na watu wa dini zao tena yanayohusiana na dini zao Mkristo azungumze na Wakristo wenzake Muislam azungumze na Waislam wenzake tena asizungumze siasa atoe nasaha za kidini tu.
 
Kumekuwa na hii tabia ya kumsemea Samia. Nimesikia Makalla akimsemea Samia pia leo.

Kwani Samia mwenyewe hawezi kusema tukamsikia?

Zaidi, kwa nini marais wa Tanzania ni nadra sana kufanya press conferwnce na waandishi wa habari, wakaulizwa maswali ya hapo kwa papo, wakajibu?

Sasa hivi nchi ipo katika tafrani nyingi zenye maswali mengi, kwa nini rais hajitokezi na kukaa na waandishi akajibu maswali?
Hawana uwezo wa kujibu hoja.
 
"Mheshimiwa Rais Samia anapenda kufanya kazi na viongozi wa dini na ninyi ni mashahidi amekuwa akiwaalika ili tuzungumze masuala mbalimbali ya kitaifa ingekuwa ni mtu anayejifungia ndani na akasema analo jeshi, sheria, katiba na vyombo vya ulinzi basi nitafanya kazi nadhani hivi ingekuwa ngumu sana lakini yeye amesema milango yetu iwe wazi tuzungumze na viongozi wa dini kwa ajili ya kutafuta mustakabali wa nchi yetu pale ambapo tunadhani hatuendi sawasawa,"

Dkt. Biteko amesema hayo Julai 3, 2025 jijini Dodoma wakati akimwakilisha Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano Mkuu wa 32 wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT).

Screenshot_20250703-140259~2.png
 
Back
Top Bottom