Kinyume chake mkuu,somo kubwa ni kwa yeye yawezekana alibariki kuomba msaada wa dola kuchukua/kutwaa viongozi wa mitaa na vijiji.Sina hakika wenye ccm yao wanampima ufanisi kwa lipi kuanzia nunua nunua viongozi upinzani.Bashiru anajenga heshima ya ccm
Hivi mikutano imeruhusiwa? Maana huku Polepole ,Kule Bashiru Wapinzani wao MahakamaniTAARIFA
Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally, asubuhi ya leo tarehe 02 Desemba, 2019 amewasili kisiwani Pemba kwa ziara ya siku tatu akitokea Kisiwani Unguja alipohitimisha ziara yake jioni jana tarehe 01 Desemba, 2019.
Ziara hiyo inalenga kuimarisha Uhai wa Chama, kukagua miradi na kuimarisha mahusiano baina ya Chama na Serikali na kuendelea kukifanya Chama kuwa karibu zaidi na wananchi.
Imetolewa na;
Afisa Habari
Ofisi ya Katibu Mkuu
CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM).
View attachment 1279105View attachment 1279106
Mkuu nakumbusha tu kwamba gazeti la Mwananchi ni mali ya CCM. Ndio wamiliki. Naomba hilo lijue.I feel sorry kwa gazeti la Mwananchi(nilikuwa mpenzi wao mkubwa)but now nalo limegeuka na mbaya zaidi limemtelekeza mwandishi wao aliyepotea katika mazingira ya utatanishi,
Hao hafanyi mikutano wanakangua utekelezaji Wa ilani yao kama inafikiwa kama kuna tatizo mahala wanachukuwa hatuna.tofauti na wapinzani wao wanafanya mikutano na kutoa matusi hawahamasishi maendeleo wakikuta kinafanyika kitu Kazi yao kupiga ndio maana wameambiwa siasa hadi 2020 ndio waseme mbona mliahidi jambo Fulani hamkufanya tupeni sisi tufanye hiyo ndio siasa. Sasa mambo yanafanyika wao wanapiga hata jambo halijaishaHivi mikutano imeruhusiwa? Maana huku Polepole ,Kule Bashiru Wapinzani wao Mahakamani
Laiti kama ungemwelewa vema ungeandika zaidi ya hilo uliloandika juu ya mwana tahaluma huyoBashiru anajenga heshima ya ccm
Watanzania sio wapumbavu ilani ni pamoja na kuwapokea Wabunge na Madiwani waliofikia bei?ilani ni miradi ,wangekuwa wanaongea na watekelezaji wa miradi,mikutano ya hadhara inayofanywa nayo ni ilani?Hao hafanyi mikutano wanakangua utekelezaji Wa ilani yao kama inafikiwa kama kuna tatizo mahala wanachukuwa hatuna.tofauti na wapinzani wao wanafanya mikutano na kutoa matusi hawahamasishi maendeleo wakikuta kinafanyika kitu Kazi yao kupiga ndio maana wameambiwa siasa hadi 2020 ndio waseme mbona mliahidi jambo Fulani hamkufanya tupeni sisi tufanye hiyo ndio siasa. Sasa mambo yanafanyika wao wanapiga hata jambo halijaisha
Kwa Pemba anajisumbua tu wanaona uchaguzi tayar ndio wanajipeleka peleka.TAARIFA
Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally, asubuhi ya leo tarehe 02 Desemba, 2019 amewasili kisiwani Pemba kwa ziara ya siku tatu akitokea Kisiwani Unguja alipohitimisha ziara yake jioni jana tarehe 01 Desemba, 2019.
Ziara hiyo inalenga kuimarisha Uhai wa Chama, kukagua miradi na kuimarisha mahusiano baina ya Chama na Serikali na kuendelea kukifanya Chama kuwa karibu zaidi na wananchi.
Imetolewa na;
Afisa Habari
Ofisi ya Katibu Mkuu
CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM).
View attachment 1279105View attachment 1279106
Hao hafanyi mikutano wanakangua utekelezaji Wa ilani yao kama inafikiwa kama kuna tatizo mahala wanachukuwa hatuna.tofauti na wapinzani wao wanafanya mikutano na kutoa matusi hawahamasishi maendeleo wakikuta kinafanyika kitu Kazi yao kupiga ndio maana wameambiwa siasa hadi 2020 ndio waseme mbona mliahidi jambo Fulani hamkufanya tupeni sisi tufanye hiyo ndio siasa. Sasa mambo yanafanyika wao wanapiga hata jambo halijaisha