Egnecious
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 875
- 960
TAARIFA
Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally, asubuhi ya leo tarehe 02 Desemba, 2019 amewasili kisiwani Pemba kwa ziara ya siku tatu akitokea Kisiwani Unguja alipohitimisha ziara yake jioni jana tarehe 01 Desemba, 2019.
Ziara hiyo inalenga kuimarisha Uhai wa Chama, kukagua miradi na kuimarisha mahusiano baina ya Chama na Serikali na kuendelea kukifanya Chama kuwa karibu zaidi na wananchi.
Imetolewa na;
Afisa Habari
Ofisi ya Katibu Mkuu
CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM).