WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 5,882
- 5,644
Na wewe pia ni mwombolezaji ambaye unajifariji kwa mapambio ya ushindi feki usiokuwa na tija kwako na kwa watanzania kwa ujumla.Ushindi wa kisiasa hutanguliwa na umahili wa kimkakati, kimbinu, na kiuwezo. Sasa CDM, ACT, CUF, nk bakini kulialia - mkifeli kudhibiti vitu hivyo lzm mbaki kundi la waombolezaji
Change it yourself!