Yaani humu JF kuna mijitu mijinga kiwango mfano hakuna!
Dr. Bashiru huyu leo aitwe freemind? hiyo freemind ya Bashiru imeanza leo ama jana?
Kwamba watu mara hii wameshasahau ni huyu huyu aliyekuwa akiwatishia wapinzani kwa kauli zake ili tu apate kumkosha bwanaake mwendazake?
Si ni huyu na mwenzie slow slow walikuwa wakifadhili biashara haramu wa kununua wapinzani, kupitia vitendo vyao hivyo wakaumiza watanzania walio wengi kwa matukio ya kigaidi?
Akina Alphonce Mawazo wako wapi leo?
Aaakh....... wacha niishie hapa kwanza!!!!!