Dkt. Bashiru Ally pole lakini maneno huumba

Bashiru was fooled by some people walizokuwa na kiu ya nafasi za kiuongozi katika taifa wakitaka kuimanipulate katiba! Kitendo Cha kumpangia mama ziara ya siku 7 huku wakijua kuwa Mambo hayakuwa sawa hospitalini ni uhaini!
Hata hivyo ashukuru mama Hana hasira na amempuuza na kumsamehe! Akatubu na kumuomba mama msamaha pindi apatapo nafasi!
 
umeongea kwa hisia sana......

next time weka namba ya simu
 
Kwahiyo kwenye Wizara ya Afya wameachwa wale Mawaziri wa Nyungu? Hii inaonyesha mama naye anaamini kuwa corona ilishajiondoa baada ya kusimangwa na maombi
Mama ataelewa hapo mbeleni .. tumpe kama miezi sita.. au mwaka wa matazamio. Sasa bado mapema sanaaa. Japo CCM ni ile ile na watu ni wale wale..
 
I have noted something here..!!!
 
Kukosea ninkawaida kwa wanadam mh bashiru tokeza hadharan omba radhi watz japo Ni mgumu ila ukiteleza kwa kusema huwez kukubali teuzi yeyote kwa hiyo uliyonayo wakati ule ni kubwa saana.

Pia hukuwaza kuwa cheo Ni dhamana na nikosa kwa duniani kumtegemea mwanadam mwenzio ni kosa kwan wanadam wote sisi tunapita umeona unavyoumbuka mh.

Katende haki ujipambanue na kuonesha ubinadam wako kwamba anakosea usije ukajisahau tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…