Dkt. Bashiru Ally akemea adhabu za viboko zinazofanywa na Maofisa wa Umma

Akiwa mkoani Bukoba, Ndugu Bashiru Ally ambaye ni Katibu wa CCM amesema anashangaa vitendo vinavyotaka kujikita mzizi kwa maafisa wa Serikali kujichukulia sheria mkononi...
Wamechukuliwa hatua gani?
 
Akiwa mkoani Bukoba, Ndugu Bashiru Ally ambaye ni Katibu wa CCM amesema anashangaa vitendo vinavyotaka kujikita mzizi kwa maafisa wa Serikali kujichukulia sheria mkononi...
Kuna tatizo kubwa sana kwenye mamlaka za uteuzi
 
Kitendo cha viongozi wa serikali tena wateule wa Rais kuchapa raia viboko ni viongozi hao kukosa weledi wa uongozi, kujitafutia kiki na mwisho wa yote ni kumfitinisha Rais na wananchi jambo hili likemewe kwa nguvu zote
 
"Watu wasiojulikana" walifanya lolote walilotaka na raisi alikaa kimya na alibariki vitendo vya kinyama pia kumbuka Mkuu wa mkoa wa mbeya ndiye mwanzilishi wa viboko Kwa wananchi alichapa wanafunzi wa sekondari na raisi alimpongeza Kwa kitendo alichofanya....
 
Nimefrahi Sana, Mungu ambariki Dr. Bashiru,inastikisha sana hawa viongozi Wa sasa,yaani wanaona kudharilisha watu eti ndo utendaji Nazi,hivi kwanini wahanga Wa haya matukio hawaendi mahakamani kushitaki?

Mheshimiwa rais anapaswa kuwa makini sana katika kuteua viingozi Wa government, maana wengi wao wamejawa mihemko bila kutumia hekima
Maneno ya busara Sana hayo.
Wakati uzi wa ma dc kuwachapa viboko watu mliwasifia kwa mapambio. Leo mwana ccm wemu kawakataza mnamsifia kama kawaida yenu.

Hivi mshaongezewa au bado mnalipwa buku 7?
 
Sasa Rais yuko wapi kuwakemea hao wateule wake?Amewachukulia hatua gani?kukaa kwake kimya au kutochukua hatua maana yake anaunga mkono vitendo hivyo!
Yeye mwenyewe anatamani kuwachapa kama anasema anatukuna mawaziri wazee wazima unategemea nini?
 
Kitendo cha viongozi wa serikali tena wateule wa Rais kuchapa raia viboko ni viongozi hao kukosa weledi wa uongozi, kujitafutia kiki na mwisho wa yote ni kumfitinisha Rais na wananchi jambo hili likemewe kwa nguvu zote
Mi natanani hadi Magufuli aanze kuchapa bakora tenaa anze na hapo Lumumba.

Bakora ziendeleee......
 
Kitendo cha viongozi wa serikali tena wateule wa Rais kuchapa raia viboko ni viongozi hao kukosa weledi wa uongozi, kujitafutia kiki na mwisho wa yote ni kumfitinisha Rais na wananchi jambo hili likemewe kwa nguvu zote
Wewe huyu JPM kufitinishwa?? mbona kwa akili yake ndogo ndivyo anavyotaka! Kutesa. kuteka, kuaibisha, kuua anafurahi sana. Ben saanane alifia ikulu! mbele yake! Ally Hapi na Bashite iko siku yenu
 
Kitendo cha viongozi wa serikali tena wateule wa Rais kuchapa raia viboko ni viongozi hao kukosa weledi wa uongozi, kujitafutia kiki na mwisho wa yote ni kumfitinisha Rais na wananchi jambo hili likemewe kwa nguvu zote

Kutandika viboko watu wazima mbele ya kadamunasi ni udhalilishaji uliyo kubuhu,stori kama hizi tuliwahi kusimuliwa na Baba zetu na wao wailisimuliwa na wazazi wao kuhusu ukatiri mkubwa wa ukoloni wa Kijerumani wa kuwatandika ovyo viboko raia na wakati wengine kuwanyonga adhalani - ya nini tena kurudi kwenye matendo ya ukoloni wa Kijerumani.
 
Back
Top Bottom