Amepigwa comeback ya kisanga kutoka kuapishwa ubalozi sijui katibu kiongozi mpaka uchimba chumvi ni hatari mno Mazee huyo jamaa kuendelea kukomaa bungeni ni kiboko aisee sema akwende zake huko walikua wanaongea chochote na slow slow wake mpaka eti alinunua ubao kupiga hesabu za tofauti ya trillion 1.5 yaani wanatuona sisi makolo kweli...