ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,373
- 4,141
Halafu huyu DR Mgimwa Kiswahili kajifunzia ukubwani eenh? Je alikuwa bushi muda mrefu akawa anaongea kilugha tu au kaishi nje muda mrefu mpaka akasahau kiswahili? Yaani akiwa anaongea yataka umakini mkubwa sana kumuelewa anachomaanisha.