Nnachoamini kwa jinsi alivyoponea tundu la sindano,na hali ya vyombo vyetu vya usalama ilivyo anahitaji mda wa kujipanga,ila kama anamawazo tofauti na nnampa pole.
Utasubiri mpaka yesu ashuke lakini hiyo ndio fact itakua ni porojo tu maadui zake wanakaa nae mezani wanayamaliza kiutu uzima.
Mbona hizi ni kama vile pumba tupu?
wewe ndiye unaleta habari za udaku kawaeleze mangamba wenzio wala sio hapaWewe unaweza kuziona pumba lakini ndio hivyo Dr Ulimboka mpaka kusema hakuna anayejua ukweli kuhusu yeye baada ya kusoma Mwahalisi na magazeti mengine...nyie si mnataka Dr Ulimboka aungane na kauli ya Kubenea na Mwanahalisi hiyo kauli ya Dr Ulimboka inafanya habari zote dhidi yake zinaonekana udaku tu.
Nnachoamini kwa jinsi alivyoponea tundu la sindano,na hali ya vyombo vyetu vya usalama ilivyo anahitaji mda wa kujipanga,ila kama anamawazo tofauti na nnampa pole.
Huyu naye angetulia zake tu huko aliko ili asilianzishe lingine litakalowaudhi watesi wake.
Kwa sasa anachoweza kufanya cha busara ni kumshukuru Mungu tu kwa kumponya na kifo ambacho kilikuwa dhahiri.
Unless ana hamu ya kumalizwa moja kwa moja, jambo la muhimu kwake kwa sasa ni kukaa kimya na kuendelea na mambo mengine.
wewe ndiye unaleta habari za udaku kawaeleze mangamba wenzio wala sio hapa
kinachosababisha nisione mantiki kwenye post yako ni kuwa, mtu akisema jambo alilofanyiwa na watu wengine ni siri yake haina maana kwamba hakuna mtu mwingine anayejua jambo hil. Maneno yako yalikuwa na maana kuwa iwapo ni dr Ulimboka tu ndiye anayejua kilichomtokea basi hata wale mahasidi wake waliomteka nao hawajui walilomfanyia, jambo ambalo ni wazi kuwa siyo la kweli. Iwapo usingeweka komment ya aina uliyoweka, ingesaidia sana kuficha upungufu huo wa maono kenye hiyo post.Wewe unaweza kuziona pumba lakini ndio hivyo Dr Ulimboka mpaka kusema hakuna anayejua ukweli kuhusu yeye baada ya kusoma Mwahalisi na magazeti mengine...nyie si mnataka Dr Ulimboka aungane na kauli ya Kubenea na Mwanahalisi hiyo kauli ya Dr Ulimboka inafanya habari zote dhidi yake zinaonekana udaku tu.
Wewe unaweza kuziona pumba lakini ndio hivyo Dr Ulimboka mpaka kusema hakuna anayejua ukweli kuhusu yeye baada ya kusoma Mwahalisi na magazeti mengine...nyie si mnataka Dr Ulimboka aungane na kauli ya Kubenea na Mwanahalisi hiyo kauli ya Dr Ulimboka inafanya habari zote dhidi yake zinaonekana udaku tu.
hamna kitu hapo hakuna chochote cha ajabu atakacho ongea ,zaidi ya kustaajabisha taifa kwani kwa mwakyembe ilikuaje.? Aliombewa sana na wadau hasa hapa jamvini kulikuwa na thread kibao zilizo anzishwa ili kumwombea apone lakin alipo pona na kurejea nchin mambo yakawa tofauti kabisaaa. Kapewa kijishavu katulia tuliii?? Sasa na huyu nae atakuja kuongea mambo ambayo ni story za kufikirika kabisaa na kustajabisha. Hii ndio tz ilio jaa vioja bana.hana ubavu wa kupanua domo lake na kumwaga mboga?? Serikali inajua nin imefanya na nini itafanya juu ya ulimboka ndio mana imetulia tulii. Tatizo letu njaa ndio inayotumaliza na ndio huwa inatufanyatuonekane wanaharakati na wanaukombozi kumbe si lolote si chochote tukishibishwa kidogo tu hata na kiporo chariii
wewe kama ni muoga kaa na woga wako usifundishe watu wengine woga!!Huyu naye angetulia zake tu huko aliko ili asilianzishe lingine litakalowaudhi watesi wake.
Kwa sasa anachoweza kufanya cha busara ni kumshukuru Mungu tu kwa kumponya na kifo ambacho kilikuwa dhahiri.
Unless ana hamu ya kumalizwa moja kwa moja, jambo la muhimu kwake kwa sasa ni kukaa kimya na kuendelea na mambo mengine.
Kwa hiyo unatakaje? tatizo lenu ndio hilo mnataka hawafurahishe nyie wanasiasa unalazimisha Mwanahalisi ndio limesema kweli.
na wewe unapoteza time yako kubishana na GAMBA RITZ??we jamaa unafikiri, hzo taarifa kubenea alizitoa wapi?, pamoja na zile namba zao za cm? Na kwanini wakaamua kulifungia hlo gazeti? Tanzania kaka iko agaist na ukweli cku zote, elewa hvo! Mwakyembe kusoma ripoti ya richmond wakataka kuua, juzi mnyika kusema raisi ni dhaifu wakamtoa nje ya bunge wakati ni jambo dhahiri kbs
kinachosababisha nisione mantiki kwenye post yako ni kuwa, mtu akisema jambo alilofanyiwa na watu wengine ni siri yake haina maana kwamba hakuna mtu mwingine anayejua jambo hil. Maneno yako yalikuwa na maana kuwa iwapo ni dr Ulimboka tu ndiye anayejua kilichomtokea basi hata wale mahasidi wake waliomteka nao hawajui walilomfanyia, jambo ambalo ni wazi kuwa siyo la kweli. Iwapo usingeweka komment ya aina uliyoweka, ingesaidia sana kuficha upungufu huo wa maono kenye hiyo post.
Unamtisha nani sasa?Huyu naye angetulia zake tu huko aliko ili asilianzishe lingine litakalowaudhi watesi wake.
Kwa sasa anachoweza kufanya cha busara ni kumshukuru Mungu tu kwa kumponya na kifo ambacho kilikuwa dhahiri.
Unless ana hamu ya kumalizwa moja kwa moja, jambo la muhimu kwake kwa sasa ni kukaa kimya na kuendelea na mambo mengine.
Wewe ujuaji wako umekusaidia nini, ungekuwa sio mjinga usingehangaika na Multiple ID's humu JF.ujinga bado ni tatizo kwa watanzania wengi