Dk. Tulia asota Dodoma

Bajeti zinaendelea kupitishwa tu wao wanaendelea kutafuta popularity za kisiasa. Sijui ni nani anayenitetea katika bajeti hii angalau na mimi nikafaidi keki ya Taifa
 
Wangekuwa wanawake isinge shangaza.

Lakin ni kichekesho kuona mibaba na mibabu inasusa
 
Hicho kitabu wamegoma kuchukua lakini kesho utasikia wanauliza maswali kutokana maelezo ya kitabu hicho hicho.

Nonsense! Kwani umeambiwa wamekataa kukisoma? Mimi sio mbunge nimekipata watashindwa wao?
 
bogus KUB! they better get cognizant, the Kikwete. Makinda era gone forever! It is either they stay in the House or leave for ever. The latter is on their peril; politically and socially. They will finally earn themselves political insignificance status. It seems the entire group lacks political intelligence to guide their whims in and outside the House.
 
upinzani wanaendesha siasa za kitoto zilizokosa ubunifu kwani wakisusia wanafikiri kuna kitu kinabadilika, walitakiwa wabaki bungeni wapambane kwa hoja kiujumla wajue hawana akidi ya kubadilisha maamuzi hivyo wapende wasipende wataburuzwa
 
Demokrasia si wengi wape? Kama wapinzani wanatosha tusubiri kura ya maoni ya kumwondoa Tulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…