Dk. Slaa: Safu Mpya ya CCM imejaa Taswira ya Ufisadi

ukweli ni kwamba anachosema slaa sio ukweli.Leta ushahidi kama anachosema slaa ndo ukweli.

Mauaji ya mwandishi Iringa,Dr Slaa alisema magamba waache kutumia nguvu vya dola kuvidhibiti vyama vya upinzani.Mr Dhaifu kakiri kwa kusema wao magamba wasitumie jeshi la polisi kuwakabili wapinzani bali wapande jukwaani kujibu hoja.Je, hapo bado u gizani!
 
Sasa ww mama kazi ya Takukuru aka takakuu ni nini? walitakiwa washtaki halafu Dr. Slaa anakuwa shahidi au vp? mbona kina mramba kina prof. Mahalu walishtakiwa na mashahidi walikuwawepo sasa washtaki tuone kama Dr. Slaa atakataa kutoa ushahidi.

sasa ndugu takukuru itafunguaje mashitaka bila kukamata?au kuwa na ushahidi wowote.kama yeye slaa anao ushahidi ndo aupeleke takukuru ama mahakamani,SIMPLE LIKE THAT.
 
Asante raisi wangu,hapo ndipo napo kukubali!kwa kuongezea tu ni kwamba baada ya mkutano wao ambao ulitoka na kauli mbiu ya kuvuana magamba! swali nani alivuliwa hilo gamba? nepi akazunguka huko huko! hukuakiongea kama mtoto wa kike eti,tutatoa mafisadi wote! yako wapi? wajitathimini kwanza! ccm ni wezi! nepi nimpiga kelele tu!na tunasubili mje mtaani tuwazomeeni!
 
mimi pia nimeshamchoka huyu mzee. hana jipya zaidi ya ufisadi.. siasa ni zaidi ya ufisadi..tunataka sera izo ngonjera tumeshazizoea
 
Hii haina tofauti kabisa na kauli aliyoitoa Askofu Kilaini, hii imeandikwa kwa kirefu zaidi ya kauli ya Askofu. Mhmmmm!!
 
sasa ndugu takukuru itafunguaje mashitaka bila kukamata?au kuwa na ushahidi wowote.kama yeye slaa anao ushahidi ndo aupeleke takukuru ama mahakamani,SIMPLE LIKE THAT.

Acha papara fanya utafiti juu ya ayanenayo Dr Slaa, hv hujui kama Kinana ana miliki kampuni nyingi tu za meli! Au hufahamu tu nguvu kubwa ya utajiri wa Ridhwani inatokana na nini? Kwa umri wako kabla ya ushabiki jaribu fanya utafiti hata kiduchu badala ya kubeba zigo nzito bila profitee.
 
Mzee tafuta wimbo mwingine huu tumeuchoka! kama unaushahidi nenda mahakamani!......

Hapa tu ndo naipendea Tanzania. Iba fedha za Rada wataongea, hakuna hatua then watasema wimbo wameuchoka. Iba fedha za EPA, wataongea, hakuna hatua then watauchoka pia wimbo huo.

Iba pesa za Agricultural Inputs, wataongea, hakuna hatua then wataouchoka wimbo huo. Piga Ulimboka, wataongea, hakuna hatua pia watauchoka wimbo huo.

Piga ua Mwangosi, wataongea pia watauchoka wimbo huo. Dhulumu watu, wataongea, hakuna hatua then wataucoka huo wimbo. Fanya ufanyalo, wataongea, hakuna hatua watauchoka wimbo huo. Upewe nini tena na Mungu?

Tofauti na nchi zilizoendelea, hata ukiiba penseli ukiwa shule ya msingi, hupewi kura hata baada ya miaka 50 na rekodi itawekwa!!!

Hapa ndo tofauti ilipo na tofauti hii inaji-reflect kwenye maendeleo pia. We will remain ombaomba!
 
Yeye si ana ushahidi? na ana uchungu na nchi hii? kwanini azunguke zunguke na ushahidi ktk majukwaa ya siasa badala ya kuwashitaki mahakamani? unapozunguka kila kona na ushahidi wa uongo majukwaani una lengo la kuchochea wananchi ili wakasirike na kuamua kuvunja sheria kama wanavyofanya sasa huko Mwanza!

Ndugu nchi hii ina mahakama, tupeleke kesi zetu huko na tuache kutafuta umaarufu kupitia mgongo wa machinga!
Nani mwenye dhamana ya kuwafungulia mashitaka watu wanaoeneza uongo na kuchochea wananchi kuvunja sheria? Kwa nini serikali ijivue kweye wajibu wake wa kikatiba kama si kuhadaa watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri
 
mimi pia nimeshamchoka huyu mzee. hana jipya zaidi ya ufisadi.. siasa ni zaidi ya ufisadi..tunataka sera izo ngonjera tumeshazizoea.....

Baraza la mawaziri limevunjwa au kufanyiwa marekbisho kwa sababu zipi?
 
Sio kuzeeka vibaya tu, hata anakoelekea ni kubaya! kashfa za ngono si kitu kidogo kwa mtu mwenye elimu ya Thiolojia!.......

Dogo mbona una fikiri kwa kalio! Dr.Slaa na Dhaifu nani mzee wa totoz???
 
Bila shaka alisema atawajibu na majibu yake ni murua,niulize ya kwamba vipi 2015 Slaa atasimama au atamwachia zitto?
 
Babu siku hizi amekua kimeo,tangu mshahara wake uanze kulipwa na cdm kwa makubaliono maalum sasa kageuka mtumishi wa CDM na anatetea kibarua chake,pigana babu Mil 7 zinakuweka mjini usiache kibarua kipoteee,kama una uchungu na ufisadi ungeanza na mbowe aliewauzia magari chakavu kwa bei juu,haaa haaaa haaa babu maji ya shingo toa remix ingine hiii imechokwa.
 
Hapa tu ndo naipendea Tanzania. Iba fedha za Rada wataongea, hakuna hatua then watasema wimbo wameuchoka. Iba fedha za EPA, wataongea, hakuna hatua then watauchoka pia wimbo huo. Iba pesa za Agricultural Inputs, wataongea, hakuna hatua then wataouchoka wimbo huo. Piga Ulimboka, wataongea, hakuna hatua pia watauchoka wimbo huo. Piga ua Mwangosi, wataongea pia watauchoka wimbo huo. Dhulumu watu, wataongea, hakuna hatua then wataucoka huo wimbo. Fanya ufanyalo, wataongea, hakuna hatua watauchoka wimbo huo. Upewe nini tena na Mungu?

Tofauti na nchi zilizoendelea, hata ukiiba penseli ukiwa shule ya msingi, hupewi kura hata baada ya miaka 50 na rekodi itawekwa!!!

Hapa ndo tofauti ilipo na tofauti hii inaji-reflect kwenye maendeleo pia. We will remain ombaomba!

Dada MOUREEN si wana semama Tanzania ni kisiwa cha amani!
 
Last edited by a moderator:
Wazi rais wangu, Dr. Slaa.

Maoni ya wana CCM kulingana na uchambuzi wa Dr. Slaa siyo muhimu kwa mustkabali wa nchi yetu.
We know and what we want
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom