Dk. Slaa na Mnyika ndani ya Kimara Suka

Dk. Slaa na Mnyika ndani ya Kimara Suka

dada umeolewa

Mi siungi mkono chama cha ujerumani ambako mawaziri wanajitangaza wazi wazi kuwa ni mashoga. Nenda na Msafara wa chadema huko wakakushughulikie, mi sifanye midume mienzangu toka nilipokushughulikia mara ya mwisho shoga wewe.
 
Wenye wake zenu huko Kimara, wafungieni ndani hadi huo mkutano uishe.

Wewe lazima uweweseke si unasumbuliwa na Tezi dume, Sasa unafikiri mkeo ataponea wapi ikiwa uwezo wa kumgegeda huna..!!!

Kaa ukijua ukimfungia ndani atachukuliwa hata na mbwa uliofuga hapo nyumbani kwenu kima wewe....!!!!!

BACK TANGANYIKA
 
Mi siungi mkono chama cha ujerumani ambako mawaziri wanajitangaza wazi wazi kuwa ni mashoga. Nenda na Msafara wa chadema huko wakakushughulikie, mi sifanye midume mienzangu toka nilipokushughulikia mara ya mwisho shoga wewe.

dada povu la nini umekunywa OMO ???? nimekuuliza umeolewa??? mkuu hayo mambo ya chama cha ujerumani sisi mafukara wa Tanganyika yanatuhusu nini?? hao mawaziri mashoga sindio wanatukopesha na kutupa msaada sisi Tanzania ili ili tuendeleze miradi yetu ya maendeleo???? sasa wewe Dada bikra yako inasaidia nini Tanganyika? ??? dada samahani lakini ni muda wakufua Chu.p.I tupishe wanaume hapa
 
Hapo Mzee Slaa atawadanganya kuwa yeye ndio aliyefichua ESCROW.
 
safi sana , CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE .
 
dada povu la nini umekunywa OMO ???? nimekuuliza umeolewa??? mkuu hayo mambo ya chama cha ujerumani sisi mafukara wa Tanganyika yanatuhusu nini?? hao mawaziri mashoga sindio wanatukopesha na kutupa msaada sisi Tanzania ili ili tuendeleze miradi yetu ya maendeleo???? sasa wewe Dada bikra yako inasaidia nini Tanganyika? ??? dada samahani lakini ni muda wakufua Chu.p.I tupishe wanaume hapa

Ashqui majinuun.
 
Hapo Mzee Slaa atawadanganya kuwa yeye ndio aliyefichua ESCROW.

Hakawii! Na kwa jinsi misukule inavyomuamini, itasahau kuwa waliowatimua chadema kwa kuwaita majina mengi mara wasaliti, mara nini akina Kafulila na Zitto ndio wenye heshma hiyo. We ngojea tu.
 
Wenye wake zenu huko Kimara, wafungieni ndani hadi huo mkutano uishe.
Vipi Dr Slaa alikwishawahi kumchukua mama yako nini? Maana naona chuki hizi siyo za bure! Hebu tueleze mwenzetu?
 
Katibu wa CHADEMA taifa dk. Slaa na Mbunge wa jimbo la Ubungo John Mnyika leo wanatalajiwa kuwasha moto katika viwanja vya Kimara Suka! wazarendo wote mnakaribishwa.
Nyie kila siku ni kuwasha moto lakini mbona hatuoni majani kuungua hata nyasi. watu kujaa kwenye mikutano yenu si kwamba nyie ndo mnakubarika sana kiivyo,ni kuwa watu hawana sehemu ya kwenda wala shughuli za kufanya so wakashangae tu muda upite,ndo maana uchaguzi ukifika mnapigwa chini mbaya na huko kuwasha moto kwenu kila siku.
 
acha slaa aje kumsindikiza MNYIKA katika ziara yake ya kuaga jimbo.
hili linaweza kuzua ubishani lakini kwa sisi wakazi wa jimbo la ubungo,,, HUYU dogo hatumtaki kabisa na hatutathubutu kumrudisha hata akatambike kwao.
trust me, sio kwamba mnyika hawezi!!! laaa hasha ila HUYU DOGO HANA ADABU WALA HESHIMA KWA WAKUBWA ZAKE KICHEO WALA KIUMRI. haoni jinsi akina MBOWE,NDESAMBURO,SELASINI,ZZK na wengine wanaowakilisha upinzani JINSI MAJIMBO YAO YALIVYO NA MAENDELEO???
wenzake akina mbowe wanafanya siasa majukwaani lakini wakishuka majukwaani wanaongea vizuri na viongozi wa serikali na mwishowe miradi ya majimbo inapata fedha kirahisi. huyu dogo Mnyika yeye ni jeuri,kiburi,dharau na kujifanya kujua. mwisho wake wakazi wooote wa ubungo tunabeba msalaba kutokana na utovu wa nidhamu wa huyu dogo mnyika.
hatuwezi kabisa kurudia makosa na mwenye kusikia na asikie.
 
we Ashqui majnuun, acha kutoa lugha za kingese hapa! Kwani hujui kuwa Slaa na Mbowe ni wezi wa madem wa wengine!

si bure wewe utakuwa mdau wa mombasa kwa hiyo si makosa yako.
 
Hapo Mzee Slaa atawadanganya kuwa yeye ndio aliyefichua ESCROW.

Inaonyesha jinsi akili yako ilivyokuwa fupi kumbe muda mwingine huwa tunajibishana na mazoba humue pole lakini ukweli ndio huo wewe siii sawa.
 
Back
Top Bottom