Dk. Slaa na Mnyika ndani ya Kimara Suka

Dk. Slaa na Mnyika ndani ya Kimara Suka

Wenye wake zenu huko Kimara, wafungieni ndani hadi huo mkutano uishe.
wenzenu wanapiga mabillion ya hela nyie mnakaa kushabikia CCM miaka nenda rudi kama ma-mbururazi.....
 
safi sana , CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE .

Unajua sina nafasi kiuongozi ndani ya Chadema/Ukawa lakini ningekuwa nayo ningependekeza ifanyike crash program ya ziara katika majimbo ya wale wabunge waliokuwa watetezi wa mafisadi wa Escrow Acct ili kuwaonyesha wananchi wajue ubaya wa waliowachagua na athari zake.
Lakini najua wapo wenye maamuzi wanasoma tuandikayo humu hivyo wachukue hatua mara moja.
 
Nakala ya post hii iwafikie
John Mnyika , Mohamed Mtoi na Dr Slaa walioko Tanzania pamoja na Profesa Abdallah Safari na Mh Salum Mwalimu walioko ulaya .
 
Kutoingia mapema JF sasa nadhani mkutano umenipita.
 
Back
Top Bottom