Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,202
- 99,941
Masikini wee, nilimuona alivyokuwa akijing'ata ng'ata sijui na yeye alilazimishwa kwenda kuyasema yale, vitu vingine kama maigizo flani hivi
Mfano uliotumia si sahihi.China ni nchi ya kisoshalist na sisi ujamaa umetushinda.HIzo subsidies hatuzitaki,ni mzigo wa bure kwa serikali.
Kila mtu abebe mzigo wake.Slaa wa kwake na Kikwete wa kwake.Mwenye pesa ya kujengea nyumba abebe mfuko wake wa saruji.
Kweli kabisa
"Dk Kamala alisema ahadi hiyo ni ya uongo kwani Sh 5,000 ni gharama ya usafirishaji wa mfuko kutoka Dar es Salaam hadi Mwanza kwa njia ya reli na tani moja ya saruji ya mifuko 20 ni Sh 100,000 hivyo gharama kwa mfuko kuwa Sh 5,000 sawa na bei anayowaahidi Watanzania. Alisema gharama za uzalishaji si chini ya Sh 7,000 kwa mfuko na kabla ya kuongeza gharama nyingine, mfuko wa saruji unapofika Mwanza gharama inakuwa zaidi ya Sh 12,000, hivyo kwa bei yake kuwa kubwa."
Ushabiki kweli mbaya?Hamuoni kitu hapo?
Kama Kiwete akiulizwa kwa nini watanzania masikini na hajui kwa nini ndio utegemee nini toka Chama cha Majambazi???
Wewe na Kamala chungu chenu kimoja. Subsidy inatumika sana nchi za kibepari. Wakulima wao wanapewa subsidy kubwa sana ndo maana nchi zetu tunawalalamikia kila siku.
Haya ndugu, kwa kutumia hiihii lugha yako ya majitaka...je na huyo wa KWENU anayetembea na vyangudoa utamwitaje?Si mbumbumbu kwenye uchumi tu, hata katika maisha yake binafsi amejionyesha ni mbumbumbu... Utatembeaje na mke wa mtu bila kujua?
Si mbumbumbu kwenye uchumi tu, hata katika maisha yake binafsi amejionyesha ni mbumbumbu... Utatembeaje na mke wa mtu bila kujua?
Huyu kamala siyo mbumbumbu tu bali pia limbukeni alipopata uwazili akawadharau hata wapiga kura wake kiasi kwamba alikuwa akiwaambia kuwa yuko bussy na rais kwa hiyo hawezi kuwasaidia.
Sana sana ni kuwaambia alivyokuwa UK na USA akifikiria hayo ndiyo matatizo ya wananchi wake. Nafikiri kafulia sasa anaangalia kama atapata kacheo angalau aweze kupata mkate wa kila siku, vinginevyo uzee utamwijia hivi karibuni maana hata vyeti vyake kishule havikubaliki.
Hivi tulitegemea nini sisi watanzania kwa kuongozwa na viongozi wenye mawazo mfu kama ya huyu Dr Kamala? Naililia Tanzania ya Nyerere na Sokoine.
Huyo hana data achaneni naye, angekuwa jimboni anapiga kampeni asingeyasema haya. Ni kwakuwa hana kazi ndo maana anajikeep busy kwa kubwabwaja tu. Hivi alishahama kwenye nyumba ya serikali au anasubiri kufukuzwa?
kweli Kamala ni mjinga na sijui kama anasoma.jamani huyu waziri hajui kwamba EAC ni hiari,leo katiba ya kenya wakenya wamejiondoa katika jumuhia hiyo simply they are not ready prepared.mwambieni atafute gazeti East africa asome,viongozi kama hawa hawafai.
Kama ni mbumbumbu wa uchumi wa ndani, vipi kwenye International Regulations si ndio zero kabisa.Vipi kuhusu international regulations kwa local subsidies?Hivi unafahamu unachoongea kweli?
Haya ndugu, kwa kutumia hiihii lugha yako ya majitaka...je na huyo wa KWENU anayetembea na vyangudoa utamwitaje?
Huyo hana data achaneni naye, angekuwa jimboni anapiga kampeni asingeyasema haya. Ni kwakuwa hana kazi ndo maana anajikeep busy kwa kubwabwaja tu. Hivi alishahama kwenye nyumba ya serikali au anasubiri kufukuzwa?