Dk Slaa Mbumbumbu - Kamala

Huyo "Kamali" aende akamfanyie mahesabu JK kuhusu madini tunayoibiwa na mikataba feki. TZ ni kivu cha elimu, sawa, mwambieni JK ajinoe kwanza, akiwa fiti aingie kwenye mdahalo.
 
Baada ya kubambwa anajiita Dr wakati feki kama Kikwete, akakimbilia kwenda kusoma tena. Huyu kamala ni kiazi kwelikweli.
 
Is kamala a Dr...!!? No ni wale Dr wa kununua vyeti, his own words u can tell, huyu si DR,
mbabaishaji, anattetea tumbo lake, na ameanguka kura za ubunge atakoma, hajui anaongea nini, huyu yupo yupo tu, nasema IQ ya kamala is 5% ya DR Slaa, sasa kwanini serikali imetoa tamko la kupunguza bei ya saruji baada ya Dr slaa kusema? inamaana hajui hilo? Kamala hovyo kihiyo period....!!!!? akiongeaga is like he is sleeping, fake Dr period. hutaona ubunge ng'ooooooooooo
Pipoooooooooooooz pawaaaaaaaaaaaaaa
 

tuwamwageeeeeeeeeeee...!!!
 

mimi si mchumi ila nahisi huyu jamaa anaweza akawa kilaza kama msemakweli alivosema!....nijuacho mimi ni kuwa kutakuwa na mwingiliano wa bidhaa za nchi hizi.....mfano kama product imezalishwa kenya na ili ilete faida inabidi iuzwe USD 10 pale kenya, kwa uganda itakuwa USD10 + 13 or 15%(not sure of figures) + transport cost + faida ya mfanyabiashara wakati Tanzania itakuwa USD10+transport cost + 18% + faida ya mfanyabishara. VAT ina impact kwa mlaji wa mwisho na bahati mbaya sana viwanda vyote waliwapa magabachori waliofuria vinafuga mbuzi na mbu kwa sasa,Kenya wametuzidi sana viwanda,rwanda wangetuzidi kama tusingeamua kuingusha serikali ya chichiem,pona yetu ni kwa kuwa wana siku sita tu za kuropoka hivi. Haihitaji kuwa prof kujua kichwa cha Kamala na Slaa haviwezi kulinganishwa kwa chochote. hata huo uwaziri ni urafiki hakuna chochote!
 
Mchungaji Slaa anchojua ni kunukuu maneno ya nabii Paul, na ndio udaktari wake wa kusoma bibilia!!
 
Enyi vibaraka wa Chama Cha Mafisadi sasa mmeamua kuwavunjia watu heshima. Kumwita mtu mbumbuu huku ni kukoseana heshima. Hii elimu Kamala ndivyo ilivyokufundisha kutoa matusi bila haya. Lakini fanya mfanyavyo mseme msemavyo sisi tunayemtambua kuwa ni Mkombozi wa
Mtanzania aliye maskini bila sababu ni Dr.Slaa na si mwingine.
 
Si mbumbumbu kwenye uchumi tu, hata katika maisha yake binafsi amejionyesha ni mbumbumbu... Utatembeaje na mke wa mtu bila kujua?

UNAMUONEA MWENZIO WIVU EEE!! oor sorry, kumbe wewe ni mwanaume, nilijua wale wenzetu wakike maana wao kwa wivu mie simo. asione mwenzake anapata uroda nae anatamani hata km kaolewa.
 

Anasema nini huyu Kamala (Dr.Fake) nae fisadi wa elimu na Phd yake fake. Hebu apishe Dr wetu Slaa wa ukweli atinge zake Ikulu. Kwanza hana mpango na mavyeti yake (kanjanja). Ubunge ke shashindwa na asubiri aone cha moto kama huko Mzumbe wataendelea kum-baby sit tena.
 

Mh Kamala hamjui huyu Mh Slaa, HUYU MTU NI DIKITETA yeye hana cha mjadala. Yeye ni kutoa amri tu bila ya kulisikiliza bunge, huyu ni JOSEPH STARLIN wa Tanzania. Hajui Demokrasia hata siku moja.

Ataweza kuongoza na wabunge 10 wa CHADEMA. OOOH TUPO PABAYA.
 
Hili ndilo tatizo la kuwa na rundo la ma PhD holders wenye vyeti vya ku-download kwenye intaneti, kisha wakakabidhiwa nyadhifa
zinazowazidi uwezo. Hivi kweli Kamala ana ubavu wa ku-argue hoja ya mtu ambaye anatosha kuwa mwalimu wake?
Atuondolee uchuro na umbumbumbu wake. Aupeleke hukohuko CCM.
 
Si mbumbumbu kwenye uchumi tu, hata katika maisha yake binafsi amejionyesha ni mbumbumbu... Utatembeaje na mke wa mtu bila kujua?
bora yeye lakini huyo rais wako anatembea na wake za watu huku akijua.
je mbumbumbu ni yupi hapo?
 
huyu wananchi wa nkenge, walikgundua kuingizwa mkenge na docta wa uongo wakampiga chini. mwacheni atape tape, mwisho wake in october 31,kama unaingia huku ushauri wangu ni wewe kuwahi shule ukasome , vyuo vinafunguliwa november, ohooo
 
Hao waandishi wa habari c wangemuuliza hayohayo maji ya lita moja ya Kimanjaro yanauzwa buku hapa tz na uhai 500!
 
Kama yeye hawezi wengine wanaweza hata darasani unaweza shindwa swali mwenzako akalifanya kwa dk moja.

Nadhani kamala ndo anajua sana uchumi kuliko hata mwenyekeiti wake. Kwanini sasa asigombee urais?
Kwanini basi asieleze ya kwake na ajibu tu maelezo ya Dr. Slaa??


Kweli CCM wakae pembeni wameshindwa
 
Yeye angekuwa na akili si angeaminiwa na wananchi wake kule jimboni? Mbona walimpiga chini pamoja na kuhonga? Atakuwa anawinda kuteuliwa!

kama ulikuwa akilini mwangu,Prof. Nkunya pamoja na msemakweli mko wapi mumtolee ushahidi huyu ***** wa udaktari fake?
 
Unajua vitu vingine vinachekesha ni pale mtu unapomuita Kamala Doctor, ni uzalilishaji wa elimu jamani. Hivi hata competance ya kujieleza hana na ndo maana hata wananchi wake wamemuona mbumbumbu ndani ya chama chake. Tanzania tutafika mahali u-Doctor huu utafutwa kabisa. wewe unazungumzia usafiri wa cement??? Je zinazotoka nje si ndio zingekuwa ghari zaidi???? unatuiharibia wanafunzi wetu kama elimu yenyewe haieleweki. Hivi mkikaa na doctor Slaa kuna kitu utajibu wewe kamala ni bora rais wa chuo ambaye ni undergraduate ataweza kusema kituu kuliko wewe.
ungekuwa rais ungesema tegeta cement ndo iuzwe 5000 kwa sababu usafiri ni 1000? si ndo akili yako harafu unamtukana Phd holder ya kihalali kabisaa *bwa we !
 
Huyu kamala siyo mbumbumbu tu bali pia limbukeni alipopata uwazili akawadharau hata wapiga kura wake kiasi kwamba alikuwa akiwaambia kuwa yuko bussy na rais kwa hiyo hawezi kuwasaidia.

Sana sana ni kuwaambia alivyokuwa UK na USA akifikiria hayo ndiyo matatizo ya wananchi wake. Nafikiri kafulia sasa anaangalia kama atapata kacheo angalau aweze kupata mkate wa kila siku, vinginevyo uzee utamwijia hivi karibuni maana hata vyeti vyake kishule havikubaliki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…