Elections 2010 Dk slaa live - itv

ilboru1995

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
2,329
268
...Presidential material inaonekana dhahiri shahir kwa mh dk Slaa... Huyu ndiye rais tuliekuwa tunamtarajia atufikishe kwenye mafuriko ya maendeleo kwa kuwa ana vision na mission ya kutufikisha kwenye kilele cha maendeleo...
 
Wazee Dr. anamwaga sera za kweli kabisa, Mwanga sera Dr. mwaka huu kwa kweli CCM hawana chao,
 
HAta mie nimemkubali, kwa kweli anaelewa nini anachokifanya. anasatahili kura zetu, sijui lini watamleta JK kuhojiwa
 
Tusio Bongo jamani mbona utamu mnatunyima?Tuwekeeni basi na sisi hapa YOUTUBE maana Mafuriko ya maendeleo tunayataka kinoma....Go home go...Dr Slaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Nawashukuru sana mafisadi kwa kumshtua Mengi, alikuwa amelala fofofo, sasa kazinduka na ITV yake
 
Kwa mtu yeyote aliyemsikiliza jana Dr. Slaa na kwa umakini ni wazi atampa kura. Hakika anajua anachokifanya na anajua watanzania wanataka nini.

Sera na mikakati yake ni wazi akipata urais Tanzania itapiga hatua kubwa sana. Anajua matatizo ya umasikini wetu. Sio yule jamaa anayeongoza nchi hata hajui umasikini wetu unatokana na nini.

Big Up sana Dr. Slaa
 
Sifa kubwa ya rais makini ni kwamba lazima awe na VISION. Dr Slaa anajua anataka Tanzania ya kesho iwe vipi. Hakika nimekubali Mungu katushushia Musa wa kutuvusha jangwani. Malaria Sugu mbona kimya ndugu yangu?
 
Mshirika hawezi kujitokeza, anaogopa kupoteza fahamu kwenye studio, pia mpaka wamuandalie cha kuzungumza, muda haupo tena.

Hongera Dr wa ukweli DR SLAAAAAAAAAAA!
 
Sio kwamba ana VISION na MISSION tu bali pia ana INTEGRITY, COMMITMENT, FOCUS.
 
The guy is presidential material and I am dead certain many ccm members are going to vote for him as opposed to their own candidate!!
 
Sio kwamba ana VISION na MISSION tu bali pia ana INTEGRITY, COMMITMENT, FOCUS.

Yesterday, I was really impressed. The guy knows! He's intelligent and has everything in his head. No wonder the guy scooped PhD with Summa Cum Laude (first class with honours) from a very reputable university St Urban in Rome. Only great thinkers like Dr Slaa are admitted to study at St Urban.
 
Back
Top Bottom