Dk.Slaa lipa deni hili la CHADEMA

Aise kama ndo CDM inaaminika hivi hata kwa madudu wanayoyafanya viongozi wake, basi watanzania tumelishwa sumu mbaya sana na CDM. Hivi ni kweli baadhi yetu tumeamua kuiona CDM ni malaika ambao hawakosei! Ni kweli Dr anadaiwa na chama na kwa taarifa yenu wabishi, hivi juzi tu baadhi ya wabunge walidhamiria kugomea kuendelea kuchangia chama kwa masharti kuwa Dr Slaa arudishe deni la chama kwanza. Mengi wabishi wa CDM mtayashuhudia saaaaaaaaaaana tu. Badala ya kukubali mapungufu ya viongozi wetu wa CDM na kuyachukua kama changamoto na kushauri ili chama kiimarike, mnakaa kubishabisha tu.
 
Kweli magamba yamebanwa korodani; yaani sasa yanazungumza chochote! Mwaka huu tutasikia mengi na yote ni evidence kuwa chichiem kwishney!
 
Hivi huko kwenu (CDM) hakuna vikao vinavyojadili mapato na matumizi ya chama? Kama vipo, mbona haya hayajadiliwi huko mnaleta upuuzi hapa? Haya kwangu ni majungu....kama kuna ukweli mngeelezana kwenye vikao. Kama wewe si CDM umeyapata wapi haya na yanakuhusu nini?
 
Kazi kweli kweli, wanawake bwana ni hatari, Ex-Wife ubunge!!!! Wife to be tayari kashapewa nyumba!!! Kweli nimeamini mapenzi ya ukubwani ni noma, Kama Slaa kaopa CDM basi tuelezwe kuna vigezo gani mwanachama vinavyomuwezesha kukopa kwenye chama? Mimi rai yangu ni kwamba wote Slaa na uyo mtarajiwa ni MAGUBE GUBE tu.
 

barua tunaisubili. Ilikuwa inaskaniwa tangu jana. Mimi binafsi sitaki kuamini kwa sababu najua utaratibu wa fedha upo na unafuatwa.
 
Ahsante Mkuu mibaba!! kidogo nipasuke kwa hasira kwa watu wanaotumika kama magogo ya msalani!!
 

You are too junior to discuss this issue. "viongozi wetu" wewe na nani wewe Gamba usituzuge hapa!!
 



.....Tuntemeke watakubeza sana lkn huu ndo ukweli wenyewe,watu wengine wanakalia people power hawajui kinachoendelea wanakalia ushabiki wa kijinga,kama si kweli ajitokeze huyo aliyezuiwa kufunga ndoa akanushe
 
Tuntemeke acha usengenyaji...kwani kama kukopa ni kosa kisheria , si uchukue hatua ilhali ushahidi unao na huwa unajitambulisha kuwa wewe ni mwanachadema.
 
Tuchange aisee twende vodacom tuombe itumwe sms kwa sh 500 then 100 iende kulipa
 
dah kuna watu wa ajabu sana,yaani huyu babu hakosei walibisha hajachukua mke wa mtu,lakini baadae ukweli wakauona.Sasa wanabisha hajakopa hela za chama.Mnatakiwa kufatilia je kweli wabunge wenu wamegoma ama la.Je ni kweli amechukua pesa za chama ama la.Lakini ajabu ni kubisha tu.Huyu babu ukweli si muadilifu kama wengi wanaamini.Ikiwa mtu ambaye ashawahi kuwa kiongozi wa dini na akaweza kuzini na mke wa mtu na kuzaa nae,kwenye pesa kwake ni rahisi zaidi.Mtu anaye simama jukwaani na akawatangazia watz kwamba huyu ni mke wangu,wakati si kweli huyu mtu ni hatari na ni mtu ambaye yupo mbali na ukweli.Ajabu wapo watu wanaomuamini kiasi hawataki kuhoji.Pengine nashawishika kuamini ule mfumo wa dini wa kukubali bila kuhoji ndo hata ktk chama chao pia unatumika.
 

Unajua kuna watu wameigeuza Chadema kuwa dini na hustahili kuhoji mabo ya kiimani, na ndiyo maana Kibwetere aliua wafuasi wake. Tetesi za wabunge kugomea kutoa michango zilitoka kwa wabunge hao hao lakini kwa vile kuna watu waliwapa uungu viongozi wao, habari hizi ni mwiba mchungu na hawako tayari kuzisikia. Sasa hali ndo hiyo, jamaa kasepa na fuba hilo na sasa chama hakijui kifanyeje.

Viongozi wa aina hii hawana tofauti na Lowassa maana wote wanatumia vyeo, ambavyo ni dhamana, kwa manufaa yao. Halafu humu watu bila aibu wanawachekea na kuwashabikia! Kweli tumerogwa!
 
Hakuna mtu asikuwa na deni, nchi yenyewe inadaiwa, na wewe hujalipa deni lako, lipa kwanza ndipo ulete hii thread.
 
Kweli huyu tuntemeke ana wivu wa kike, anataka nae amilikishwe nyumba njoo nikumiliki na nyumba nakupa

Matusi haya ni ushahidi kwamba hoja ya Tuntemeke imegonga vichwa na sasa uanashambuliwa mtu na siyo ujumbe! Tunaomba maelezo ya kutosha kuhusu hili maana fedha zilizotafunwa ni za walipa kodi wa Tanzania.
 
CHADEMA mnatisha, haya malizaneni....ADC tuko araundi ze kona.
 

Duh Bongo kila mtu Tapeli
 
Hakuna mtu asikuwa na deni, nchi yenyewe inadaiwa, na wewe hujalipa deni lako, lipa kwanza ndipo ulete hii thread.

Nadhani hoja hapa ni uchotaji wa mamilioni nje ya utaratibu maalum wa chama - KUMBE PADRE NI MUONGAJI MZURI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…