Sitakaa nimjibu tena mwendawazimu huyu.Ameleta huu uchizi wake hapa ili avuruge operesheni Sangara iliyoanza leo.Huyu ni sawa na mwanaharamu.
Sitakaa nimjibu tena mwendawazimu huyu.Ameleta huu uchizi wake hapa ili avuruge operesheni Sangara iliyoanza leo.Huyu ni sawa na mwanaharamu.
NASISITIZA HII LEO TAR.8/8/2012 WABUNGE WA CHADEMA BAADHI WAMEGOMA KWENDA KWENYE MKUTANO WALEO UNAOFANYIKA MAENEO YA IFAKARA SABABBU IKIWA NI HII HII YA KUIBIWA FEDHA ZAO
IKUMBUKWE WAZI KWAMBA FEDHA ZOTE ANAZO DAIWA DR.SLAA HAZIKUPITIA UTARATIBU HUSIKA WA CHAMA WA KUKOPESHA WAFANYAKAZI WAKE, NI MWAVULI WA UKATIBU MKUU NDIO ULIOPELEKEA KUCHUKUA MAAMUZI YA KUWAFORCE KURUGENZI YA FEDHA KUMKOPESHA FEDHA HIZO.Barua ya kuwafukuza wafanyakaiz kadhaa wanaompinga ndnai ya chama ipo na inascaniwa iletwe hapa,
NAOMBA KAMA DR.SLAA ANAKANA UKWELI HUU AJE HAPA APINGE,USHAHIDI TUNAO.
Jf jukwa huru la kujadili mambo yote sio ya ccm,cuf na TLP tu bali hata ya chadema ni muhimu kuyajadili katika usawa.
Mwanzoni nilianza kukuamini lakini hapo kwenye red umearibu kabisa, kwa nini hukusubiri u-scan kabisa ndo uje uanzishe uzi? Kwani kwenye mikutano ya chadema huwa wanafika wabunge wake wote, wajangwani nilikuwepo natse, shibuda, kasumbai, kahigi na wengine wengi hawakuwepo, unasemaje hapo au ndo walishaanza kususia?
Uzuri ni kuwa tumeshakujua hautusumbui, Tuna mambo mengi yakufanya kwa sasa, Tunahangaika na CCM tu sio na wewe, Dr. asije kujibu haya majungu yako na akija ntamshangaa
NAOMBA KAMA DR.SLAA ANAKANA UKWELI HUU AJE HAPA APINGE,USHAHIDI TUNAO