Dk. Slaa kurejea ofisini CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Yaani Mwenyekiti amechanganyikiwa baada ya deal kutofanikiwa kaishia kusema ....Wapinzani Mtakiona cha Mtema kuni.........'Itabidi atuambie alikuwa anamaana gani kabla ya uchaguzi kuanza..............
wewe Mwenyekiti wako hajachanganyikiwa baada ya kuvuta kivyake na kumsahau katibu Mkuu?
tumia Lugha nzuri usi - panic hizi ni Siasa
mpaka usiku huu bado mnamsubiri tu aingie ofisini?
jaribuni asubuhi tena kwani yeye ni muungwana kakaa na ninyi miaka 20 leo Mwenyekiti wako anampa likizo


 

Attachments

  • Slaa na tweet.jpg
    40.5 KB · Views: 2,493
Inasikitisha sana badala ya pesa kupelekwa sehemu muhimu wanatumia ili wabaki madarakani. Mungu ni mwema atatuepusha na hili zimwi!

Ndiyo hapo tunapotakiwa kutumiaakili zaidi.Hakuna njia zaidi ya kuendelea kupigania HAKI zetu za msingi....
 

Ukiwa na USHAHIDI wa Mwenyekiti wetu kupokea pesa tupatie tukamuulize!Kama huna basi huna hata rights za kuongea hayo.Ila wenzako tunaushahidi wa Mke wa Mwenyekiti wako kutoa RUSHWA ili wale waliogombana nao wakati wa UTEUZI wa mgombea URAIS kukatwa kwenye kinyang'anyiro cha Ubunge......

Kama hayo yanafanyika basi huko CCM MSAFI inabidi atafutwe kwa DARUBINI.............
 
Kwanza Dr Slaa kesharudi ofisini?
unapigania Haki gani wewe ambayo huipati mpaka uitoe CCM?
mwanzo ulidai Mwenyekiti sasa unasema ni Mke wa Mwenyekiti
  • Hivi ni kwanini unawahusisha viongozi wangu kwenye fikra zako za kuwalaani?
  • Tii Mamlaka uliyopewa na MUNGU muda wao ukipita tutakuja kwa Dr naye
    • Lakini na mm nikianza kumwaga habari za Josephine Mshumbusi anavyomfungia au kutoa rushwa hapa usije juu, maana vituko vyake vyote vipo na tunamuheshimu km Mke wa Padre mfuasi wa Kristo
Mara nyingi unapochangia uwe mpole CCM haitaondolewa na jazba wala LOWASSA, Lipumba Dr au Mbowe ni Balot Box tu
 

Mamlaka inayotoa RUSHWA na kuikabidhi nchi kwa wachina?Mamlaka ilikwisha laaniwa na Mungu kwa kuuza ardhi ya Tanzania?Mamlaka inayoendekeza ubadhirfu wa mali za umma,rushwa,ufisadi,ujangili,madawa ya kulevya nk nk?

Mamlaka inaua wananchi wake?Mamlaka inayoabudu CHUKI kuliko UPENDO?Sina sababu ya kutii mamlaka hii pole...
 

Nadhani ww umjui padri aliyesoma tiolojia
 
Mbowe alisema wamemwacha apumzike wamalize zoezi la uchaguzi, akipenda ataungana nao mbele ya safari. MBONA UCHAGUZI HAUJAISHA BADO? Taarifa za huku bwana huwa siyo rasmi
 
Dr Slaa keshaingia ofisini au ni kesho tena maana mkimsingizia Mke ni chuki zenu
soma Warumi 13:1-2

  1. Kila mtu na atii Mamlaka iliyo kuu, kwa maana hakuna mamlaka isiyo toka Mungu, na ile iliyopo omeamriwa na Mungu.
  2. Hivyo amwasiye mwenye mamlaka hushindana na agizo la Mungu nao washindanao watajipatia hukumu.
Mstari wa 6 unazungumzila 'walipeni Kodi, walipeni ushuru,astahiliye Hofu, hofu, astahiliye heshima, heshima
 

Ukiona Mamlaka inayotoa ROHO za BINADAMU WENZAKE,wezi wa maliza umma,walarushwa wakubwa,mafisadi wanaotisha.Chukina dharau kwawatanzania.Wanaodhani wao ndiyo pekee wenye uwezo wa kuongoza,basi ujue hakuna utawala tena.

Hata Waisraeli watawala wao walipofika kama huyu wakwetu waliadhibiwa sana,walinyang'anywa ufalme na hata kuuawa.Na huyu je?Anastahili ya kuhemiwa?Bora nikaheshimu na kumtii jiwe kuliko huyu tuliyenaye...

Anayeabudu CHUKI ambayo anaitandaza mpaka kwa raia.Uanayeua watu wake na kujilimbikizia mali kwa kupitiliza.

Bado hujanijibu swali langu la Msingikabisa...Utawala uliofitinika,utawala wenye majungu na chuki,visasi,rushwa,ufisadi ,madawaya kulevya,mauaji ya hata watotowasio na hatia kisa rangi ya ngozi yao,ulemavu wa ngozi yao...Ndiyo utawala unaoataka tuuheshimu?Utawala huu ndiyo uansema tuutii?

Pole hakuna cha kitu hapo.Angejiheshimuna sisi tungemuheshimu,angetuona na sisi ni binadamu basi tungemsikiliza!

Hawa hata Shetani atawakimbia jinsi walivyowaovu.Wamemzidi hata FIRAUNI...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…