Anaongea kuhusu uhuru wa kuabudu, anasema yeye kwake huwa akitaka kuchinja anamtafuta muislamu anachinja. Mzee anaongea vizuri. Nitaendelea kuandika anayozungumza ila picha sitaweza kuleta natumain Xp music. Ila mzee ni mkali sana. Anaongea kwahasira.
Kama rasimu isipopita je tutaendelea na ile ya zamani?.
Swali hili kalijibu kwajazba kiasia hata sijaelewa. Kutokana na muulizaji kuliuliza kimlengo wa kisiasa.
Wananchi wanaonekana kutoelema maana ya rasimu na pia maoni yao ni ya ajabu mno. Eti mmoja anazungumzia hoja za maisha binafsi badala ya mambo ya kitaifa.
Hata ivo umeme umekatika hapa uwanjani pametukia na wananchi wengine wanaondoka.

Uraia wa nchi mbili uwe haki ya mtanzania.
Mahakama iendelee kuwa na nguvu ya kusitisha matokeo ya uchaguzi mahakamani.
Ardhi iwe chini ya wananchi na sio raisi kama ilivyo kwasasa.
Raisi asiwe na mamlaka ya kuvunja bunge kama alivyofanya nyerere kipindi chake cha uongozi. Sababu ya kupingana na matakwa yake.
Cheo cha mkuu wa mkoa kifutwe na wilaya pia na mbadala yake iwe uongozi wa majimbo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.