Dk. Slaa: JK ameliingiza taifa vitani

Status
Not open for further replies.
Siungi mkono alichosema Kikwete,ninalaani!ila nawaomba vyama upinzani waache vurugu tuone hao CCM,watamchokonoa nani

teh teh teh, vurugu jadi yao, si umesikia LEMA kishalianzisha mitandaoni.
 
Slaa ilikuwa zamani, afie huko. Hatuna haja naye mzinzi
 
Shida ya kuchukua wacheza bao uswahilini kuwapa nchi kutatugharimu sana Tanzania'
 
Nitaakikisha nchi haitawaliki Dr.W.Slaa

Hapa ulikuwa una maana gani kama siyo vita.
 
Last edited by a moderator:
Dr.W.Slaa nasikia ndio mchaguliwa halisi wa kuwakilisha chama katika uchaguzi ujao ngazi ya Urais, if it so then taifa kiukweli limeishiwa na watu wa kuongeza. Sijawahi soma mchango wowote wa ujenzi unaotamkwa na huyu mzee zaidi ya chuki na visasi. Ni kwanini huyu mzee nafsi yake imejaa roho mbaya kiasi hiki? Oh! May be the way Jk alivyomdharau kwa kutojibu vioja vyake ndio hasira zake zinazidi. Ila muovu siku zote huishia aibu na huyu sijui mwisho wake utakuwa wa aibu kiasi gani.
 
Last edited by a moderator:
miluzi mingi ilimpoteza mbwa.navyo wafahamu cdm kila kiongoz atatoa tamko

hili si la kiusalama, nilitegemea alisemee LWAKATARE au MABERE MARANDO, sasa hawa misukule mingine(YERIKO NYERERE, LEMA, MUNGI N.K ) wanaongea kama akina nani, au ndo kawaida ya msukule? au voroba vinafanyakazi?
 

Ninawasiwasi na utendaji wa IGP Ernest Mangu, kwanza anataka kutuamin isha ya kuwa hajasikia kauli hii ya uchochezi kutoka kwa AMIRI JESHI MKUU. Je hana wanausalama wanaoripoti kwake ama watendaji wengine wanaomshauri?

Vilevile anataka kutudanganya ya kuwa mara akidhibitisha ya kuwa kauli hiyo ilitolewa na RAIS basi atachukua hatua za kisheria. Sasa tumebaini kumbe hata IGP Mangu ni pandikizi la CCM maaliumu kwa kulinda uhalifu wao. Sasa sisi RAIA WEMA sijui kimbilio la usalama wetu lipo wapi?
 
Siungi mkono alichosema Kikwete,ninalaani!ila nawaomba vyama upinzani waache vurugu tuone hao CCM,watamchokonoa nani
Ninalaani kauli ya slaa kuwa nchi haitatawalika. Ninalaani kauli ya nasari kuwa kaskazini ijitenge. Kikwete washughulikie sasa hivi haraka hawa wahaini
 
Siungi mkono alichosema Kikwete,ninalaani!ila nawaomba vyama upinzani waache vurugu tuone hao CCM,watamchokonoa nani

Hizo vurugu zingine waanzilishi always huwa siyo wapinzani,bali ni ccm wenyewe'
 
Acha ujinga wewe, hakuna raia mwema anayeua wananchi kwenye chaguzi.
 
Atakaethubutu kumkamata Dr. W. Slaa nani!? wathubutu waone patakavyovurugika hapa.

dogo unaish nchi gani?.tulisha mkamata mara kibao yeye na mbowe mara kibao tena hapa dar tukampele arusha tukamsweka ndani
 
Siungi mkono alichosema Kikwete,ninalaani!ila nawaomba vyama upinzani waache vurugu tuone hao CCM,watamchokonoa nani

CHADEMA ndo wanaanza vurugu. safari hii wakianza tu bakora kwa kwenda mbele
 
huyu babu akapumnzike sasa maana uwezo wa kufikiri umeshaisha.
Bahat mbaya hana mjukuu basi akalee mtoto wa uzeeni.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…