Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,429
- 283,692
Wana Kalenga nao wanahitaji Chopa msiwabague Mbona Arumeru mlizipeleka! Slaa Leo anahubiri Uchaguzi wa Amani baada ya Dkt Jakaya kututaka kuacha Unyonge, Hongera Jabali la Siasa za Tanzania Mtukufu Dkt Jakaya Kikwete.
Subiri, mgwa kidulisanga! Muhuse chris mnya ku landani.Wewe twiva baha.Kamanda Grace piga mzigo tupo pamoja hapa Kalenga hapiti mtu zaidi yako!!Wana Kalenga nao wanahitaji Chopa msiwabague Mbona Arumeru mlizipeleka! Slaa Leo anahubiri Uchaguzi wa Amani baada ya Dkt Jakaya kututaka kuacha Unyonge, Hongera Jabali la Siasa za Tanzania Mtukufu Dkt Jakaya Kikwete.
hapa ndiyo umeandika nini sasa ? Kumbe ndiyo maana siku hizi wanawake wengi wanaachwa !
Subiri, mgwa kidulisanga! Muhuse chris mnya ku landani.Wewe twiva baha.Kamda Grace piga mzigo tupo pamoja hapa Kalenga hapiti mti zaidi yako!!
wewe uko salama????huyu mama grace yuko chini ya uangalizi wa hawa viongozi wa chadema:
1. lema- mbakaji wa dada flora wa uk.
2. slaa- mporaji mke wa mtu bi. josephine mushumbus. ametelekeza mke na watoto.
3. mbowe- anazini na mbunge wake wa viti maalum mpaka kazaa nae. ametelekeza mke wa ndoa na watoto.
JE, huyu mama yuko salama kweli?
Salome uliiba dvd zetu lini utarudisha? Na mataulo uyarudishe ata km umeamia chama cha majizi ccm jua tutakukamata tu...
[/B]
Josephine Mushumbuz aliachwa au aliporwa? Mukya nae aliachwa? Wana Kalenga wanauliza Vipi Chopa zitaenda Kalenga au somo la kata 24 limewaingia?
Dada Salome vipi bk 7 zimeisha? Mbona kimya au ndo ule usemi wa ngoma ya watoto haikeshi?
huyu mama grace yuko chini ya uangalizi wa hawa viongozi wa chadema:
1. lema- mbakaji wa dada flora wa uk.
2. slaa- mporaji mke wa mtu bi. josephine mushumbus. ametelekeza mke na watoto.
3. mbowe- anazini na mbunge wake wa viti maalum mpaka kazaa nae. ametelekeza mke wa ndoa na watoto.
JE, huyu mama yuko salama kweli?
Ivi siasa za maji taka bado magamba wanazitumia?huyu mama grace yuko chini ya uangalizi wa hawa viongozi wa chadema: