Dk Slaa awatimua viongozi 33 Sengerema

Dk Slaa awatimua viongozi 33 Sengerema

Tuachane kwanza na chanzo,
je habari hii ya kutimua viongozi ni kweli?
Na kama ni kweli je wametimuliwa kwa sababu zipi?
 
Angalieni msije mkawa mnajibu uzi ulioletwa na shetani, mmeangalia chanzo cha huo uzi? Gazeti la Uhuru = Wakala wa shetani
 
Hivi kwa siku nakala ngapi za gazeti la uhuru zinauzwa? kwa maana kila nilkiuliza wauza magazeti una gazeti la uhuru wanasema hawajachukua! mwenye data kidogo anisaidie jamani

Mkuu gazeti la uhuru lina wateja wa uhakika tena wanaolipia kwa mwaka

Karibu ofisi zote za serikali na mashirika ya umma yanalazimishwa kununua gazeti la uhuru kwa watumishi wake karibu wote maofisini
 
gazeti uhuru la magamba ndio chanzo! what do u expect?
 
ubabe wa kijinga huu! huyu mzee akiwa Rais atatawala kama idd amni
 
Back
Top Bottom