My point ni kwamba anatuchosha na ishu zake za maswala ya ufisadi! Atafute strategy nyingine ya kutokea! Haoni wenzake akina Zitto, Lissu wanavyojitahidi kujenga hoja na kuja na mambo mapya?Kazi kuu ya UPINZANI ni kupinga serikali pale inapofanya vibaya. Serikali imeshindwa kusimamia vizuri utendaji wa Jeshi la Polisi. Kwanini UPINZANI usishutumu hilo? Kama UPINZANI unashutumu serikali kila siku ni kwa sababu serikali hii ya sasa inafanya makosa kila siku.Ama unashangaza. Zitumike vibaya shilingi bilioni 220 kisha usitake Slaa ashutumu? Unaelewa kweli shilingi bilioni 220 zilivyo nyingi? Ni fedha za kutosha kujenga madarasa 22,000 ya gharama ya shilingi milioni 10 kila moja!Ni huu wizi wa kila siku wa vigogo wa CCM ndio umefanya Tanzania tukawa wa mwisho sana kwenye vitu kama Elimu hapa Afrika Mashariki. Soma takwimu hizi hapa chini kama hutakasirika na kuishutumu serikali kama anavyofanya Slaa.According to the Ministry of Education and Vocational Training statistics, Tanzania secondary school gross enrolment rates stand at five per cent while Kenya stands at 26 per cent, Uganda 12 per cent, Zambia 28 per cent and Zimbabwe 44 per centhttp://www.theeastafrican.co.ke/news/Tanzania+seeks+science+and+maths+teachers+from+EA/-/2558/1185108/-/item/1/-/11h4719/-/index.html
Ndio kwaanza CCM inazidi kupaa! Unaona kazi ya kijana Nape?wewe unataka aisifiee kwa lipi kunyanyasa wananchi we kibaraka kaa pembeni usawa mbaya huu , hiyo amani mnayotudanganya nayo mwisho wenu magamba umefika.
wewe unataka aisifiee kwa lipi kunyanyasa wananchi we kibaraka kaa pembeni usawa mbaya huu , hiyo amani mnayotudanganya nayo mwisho wenu magamba umefika.
Kubishana na wewe nadhani ni kujidhalilisha maana akili zako na avatar yako inaonekana viko sawa/Huyu slaa kila siku ni tuhuma tu! Hana kitu kipya cha kutueleza wananchi?
Huyu slaa kila siku ni tuhuma tu! Hana kitu kipya cha kutueleza wananchi?
lazima akueleze unavoibiwa ili ujue utakavoamua, kumbe ulitaka akwambie akili ya mwenzako uchanganye na na yako kama dr wako...? Amka wewehuyu slaa kila siku ni tuhuma tu! Hana kitu kipya cha kutueleza wananchi?
Huyu slaa kila siku ni tuhuma tu! Hana kitu kipya cha kutueleza wananchi?
Huyu slaa kila siku ni tuhuma tu! Hana kitu kipya cha kutueleza wananchi?
we unataka uelezwe kitu gani jambo la upotevu wa 220bn unaona ni kitu kidogo, hawa vijana wa nape vp? ebo!
Kwani ufisadi umeisha?Ishu za misikiti zinatoka wapi? Wewe fahamu jamaa kaishiwa hoja! Hana jipya! Kila siku ufisadi ufisadi!
Inaoneka we ni mtetezi mzuri wa magamba,hebu tutajie mapya ya mafisadi tafadhari.Ishu za misikiti zinatoka wapi? Wewe fahamu jamaa kaishiwa hoja! Hana jipya! Kila siku ufisadi ufisadi!