Dk. Slaa akamata nyaraka ya siri ya serikali

Acha ubabaishaji bwana, hayo ulikuwa wapi kuyasema siku zote ambazo ccm ilikuwa na wafuasi serikalini? umesahau kuwa ni ccm hii hii imekuwa ikifukuza kazi watu wenye mwelekeo wa kuwa wapinzani na kuwaacha watu wengi tu wakijitangaza kuwa wanaccm na huku wanafanya kazi. Unajifanya huelewi kuwa waraka huo unawalenga watu gani? Kama una uchungu na nchi hii ipige vita sana ili iondoke madarakani ikapate muda wa kujitathmini upya lakini sio kutaka kuhalalisha ufirauni wa ccm kwa kichaka cha nyaraka za uma. Halafu inaonesha hujui kuwa ccm ilishakufa umebaki mwangwi ndo maana unasema eti serikali ina huruma huruma, tangu lini ccm wakawa na huruma mafisadi wakubwa wametufanya sie tusipige hatua za maendeleo mpaka vinchi uchwara kama kenya vinatushinda. Waambie wamshike na kumfunga Slaa kama wana ubavu. wanashindwa hata kumkalisha mahabusu Lema watamweza Slaa!
 
Aliyejaa ukatoliki hawezi kuwa rais, ila aliyejaa uislam ndo anatakiwa kuwa rais.
 
Sasa kaka mbona kauli yako inatujumuisha wote.,au wewe unatuona wote hatunazo,na KAMA hujazaliwa TZ humu unafanya nini..!!.
au unisahihishe labda ulikuwa na maana kwamba hujazaliwa Tanzania upande wa wala ubwabwa..??.
Hujamwelewa Patali. kasome vizuri post aliyokuwa anaijibu.
 
kama hizi ndio zinaitwa ndio nyaraka za siri za serikali basi hiyo si serikali ya watu, na sio kosa kuwa nazo kwa njia yeyote ile. siri za serikali ni kwa maslahi ya umma, kama zitakuwa ni kinyume na maslahi yao, hazina uhalali wa kuitwa siri au nyaraka za serikali
 

sheba umelaniwa sina lugha ya kukubembeleza dr. Yuko makini na wewe na kikundi chako mmezaliwa kutawaliwa tu ndiyo maana nchi imewashinda tunajua ujinga wenu. Watu tunaishi kama tuko jehanum halafu wewe unashabikia upumbavu wa ccm eti kaiba nyara za serikali kwa taarifa yako hao waliokabidhiwa kuzitunza ndiyo waliompa baada ya kukinai ushenzi wa ccm. Kama huna cha kuandika kaa pembeni na umbumbumbu wako umesababisha nitumie lugha chafu kwa sababu huna akili watanzania tunateseka ndani ya nchi yetu wengine wanaishi kama wako peponi na kudhibiti maisha ya watu milioni arobaini na wewe kwa upumbavu wako unasema ccm iko sahihi jiulize kidogo tu dc ni mjumbe wa kamati ya chama kwa nini? Pumbavu
 
aliyejaa ukatoliki hawezi kuwa rais, ila aliyejaa uislam ndo anatakiwa kuwa rais.

umelaniwa wewe hatuangalii dini ya mtu tunaangalia nani anatetea watanzania sasa kwa sababu umebipu nataka ujuwe kuwa nyie mlioko kwenye hiyo dini unayoiona wewe ndiyo sahihi mumezaliwa kutawaliwa na utawala hamuuwezi duniani kote kama hujui kamuulize aliyekupa hiyo kitu unayoita dini.
 

"Responding to a disagreement by personal or national abuse does not help either. It does not influence our opponents, or the onlookers, in our favour. For a disagreement is either the result of a genuine conflict of interest, or it is the result of misunderstanding, shouting will make it worse, while careful argument can end the disagreement to the satisfaction of both sides......if you are forced to be really nasty, don't shout;use ridicule instead. Ridicule is argument; and it requires knowledge!" Mwalimu J.K. Nyerere, Argue Dont Shout, 1969
 
Hongera Slaa, kwa kukamata nyaraka za siri...

Vipi zile karatasi za kupigia kura ulizozikamata Tunduma zilikuwa kontena ngapi?

Dalili ya kuparanganyika kwa akili za binadamu ni pale unapoona unayeongea naye hawezi kuelewa kinachoongelwa wala kutofautisha mada. Unaongelea kilimo, yeye anachangia hoja ya utamaduni, unaongelea miundombinu ya barabara, yeye anaongelea mapishi. Kumjua punguuani, kama hatembei uchi, ni lazima umsemeshe.
 
mwongo huyo, akawadanganye hukohuko kanisani alikokuwa akitumika, mzushi huyu siwezi kumuamini hata kidogo, tangu azushe issue ya kontena la kura, mfuko wa cement kuwa 5000 na mengine mengi simwamini huyu.

mpuuzi wewe1 huna tofauti na anayeita mbinu chafu za ccm nyaraka za serikali.
 
Wewe kila dalili zinaonyesha umetumwa na CCM kuyasema hayo na inavyoonekana waliokutuma nao wamechoka kama ulivyochoka,mawazo yote yanaonekana ni ya kizamanizamani,hivi jamani nauliza chama maiti nacho bado kinaongea?,Tunakutahadhalisha uzisome alama zote za nyakati,Waliokutuma kama ni sisiemu au KUF waambie sisi tuko makini kwa kila kauli na hatua tunazo tembea,Subirini 2015 tunawapokonya tena 25% ili mubaki na 35,hamna jipya nyie mmefulia kama ...............................................
 
vijana umefika wakati wa kuchambua na kutafakari kwa kina kauli za huyu kasisi sipendi wala sitaki kuamini kama anaweza kucheza na akili zenu kiasi hicho kweli " common sense is not common to all!!!
 

mambo kweli! hivi ni chama gani kitakacho pewa dhamana ya kutawala na baadaye kikakubaliana na mtumishi anayekuwa kuwa na waajiri wawili? ktk maana ya kuzuia mipango ya serikali na wakati mwingine kuuza siri za serikali(mwajiri). pili katiba si mali ya chama chochote yaani si ccm wala cdm, iweje mkakati uwe kwa maslahi ya ccm, na ile proposal ya cdm kwa rais unataka kusema ilibeba maslahi ya cdm? na iweje kuwataka wananchi hususani cdm wagomee kusikiliza na kutoa maoni yao, huoni unazuia haki ya huyu mtu kwa upande mmoja? je kama cdm mnawachukuliaje watumishi wanaoleta kwenu siri za serikali? jibu ukiamini oneday utakuwa chama tawala na ccm upinzani.
 
Redio WPFW Washington dc itafuatilia kwa karibu sana na kuwaeleza wa wananchi wa marekani kuhusu pesa zao wanazotoa za mfuko wa milenium.Kama serikali ya Tanzania kama kweli wanafanya hivyo watakua wamekwisha.Nipo kwenye hii Redio Na nitakuwa mbele mpaka capital hill ,ili kuongea ukweli ili tunyimwe pesa.
 
kwa kuongezea, mimi ni mwalimu na ni mwanachama wa cdm. Na ninafundisha nimemajor kwenye masomo ya lugha ila nimeamua kufundisha civics kwa kuwa nitapata wigo wa kugusia masuala ya siasa. Katika kipindi changu najitahidi kuzalisha wanachama wapya for future generation for cdm.
 
mkuu selikali hii si selikali ya watu, ni selikali ya NEC ndo maana hizo wanazoziita nyaraka za siri za selikali zimekaa ki ccm ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…