Dk. Slaa ajiuzulu CHADEMA, Akasirishwa Lowassa kupokelewa bila masharti!

Lowasa hata akichukuwa fomu na kupendekezwa kupeperusha bendera kwa niaba ya Ukawa bado katika chama Mbowe, Slaa na Kamati kuu ndio mabosi wake na atapaswa kuwasikiliza na kuwatii sasa sasa toka lini bosi akamkimbia anayemuongoza?
Kwani Magufuli kwa kuteuliwa na ccm ndio amekuwa bosi kwa JK na Kinana? Acheni hayo mambo yanayochombezwa na ccm kisha mpaka wamemsahau MTU wao Magufuli hata kumtaja taja na ndivyo anavyozidi kusahaulika. Ukizingatia Mwandosya kasema kwenye chama hajawahi hata kuwa mjumbe wa tawi.
Mwandosya kama kasema hivyo ametusaidia watz kuwa Magufuli sio zao la mfump mbaya wa ccm!Vinginevyo hujui hierachy ya nchi, Rais ndio kila kitu chama baadae, hivi unadhani ccm ina ubavu wa kumshinikiza kikwete?Ni bora ukae kimya kama hujui unachokisema, fanyeni kosa Lowasa awe rais kwa mfano then muone mziki wake kama kweli atawatii chadema!Sasa hivi tu kina mbowe wana yield tayari hata hajawa mgombea vipi akiwa rais
 
mzaha wen mautu yetu NA YENU! mnajua hili?
Mmejaliwa vema ndimi za kusema enyi wanasisa waovu mgeukao kama vinyonga kwa kisingizio cha FURSA1
kwa ndimi zetu mnawavuta watu na kuwaaminisha! ole wenu!

NITASHANGAA slaa ASIPOJIUZULU!
lisu nitamshangaa zaidi mwanasheria aliyebobea leo anatumia maneno rahisi kutwambia eti lowas alishaadhibiwa kwa kujiuzulu uwaziri mkuu!! Duh! kweli kua uyaone wenye lugha walisema. Ni wewe Lisu au?

HUYU LOWASA????? HUU NI MZAHA WA MWAKA. KWAHAKIKA MUNGU HUJUA KUWAADHIBU WANAFIKI NA KATU HAWAFICHI. TUTASHUHUDIA ANGUKO LA WANAFIKI WOTE WANAOTUMIA LESO ZAO KUFUTA MACHOZI YA WANYONGE!!

MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Dr slaa,mnyika mbona kimya wekeni msimamo wenu watu wawe huru.
Tena huyi Mnyika na Dr. Slaa ndo walikuwa vimbelembele ktk kumpiga madongo huyo Mamvi sasa nitawashangaa kukaa naye meza moja na kula na kunywa na mtu fisadi kama Lowasssa, aibu kubwa hii kwa CHADEMA tena ni aibu ya mwaka kutokea nchini humu.
 
Dunia ni mpishano. Wengine wanaenda wengine wanarudi. Kama wote mnaenda tu au wote mnarudi tu basi hiyo sio dunia. Ila habari ya sasa ni mafuriko asiyetaka anaapiga mbizi
 
haya magazeti yetu, taaabu kweli! wakuu hivi hamna sheria inayowabana wakiandika vitu bila ya kufanya utafiti!
 
Slaa anataka ccm iondoke na anajua kuwa akiondoka cdm na ukawa ccm haiwezi tena kuondoka. Hawezi kufanya kosa hilo.
 
Akijiuzulu kisa Lowasa kupokelewa chadema nitaamini nimpenda madaraka pigana yake tote ni kwaajili ya cheo na sio upinzani, Mbowe ndio anaelewa maana ya upinzani kwasababu Ukawa wangemkataa Lowasa inamaana hawaipingi ccm sasa yeye analeta bifu kwenye siasa, ajiuzulu salama uraisi atausikilizia kwenye television tuu
 
Tetesi kwamba dr w.slaa amestaafu siasa kisa ujio wa waziri mkuu mstaafu lowassa ,sio za kweli na sio rahisi kama watu wanavyoweza kufikiria dr slaa ni mwanasiasa ambae ni hazina kubwa katika chadema,mchango wake kwa maana ya utumishi wake tangu ameingia chadema ni mkubwa sana wa kuheshimika kwa ndani huyu mtu ni mzalendo na mwenye uchungu na nchi hii hivyo umakini na weledi alionao atakuwa mtu wa mwisho kabisa kumkataa lowassa binafsi kama mtu kwa vyovyote vile mtu anapojitambua kwamba alikuwa sehemu ambayo ilikuwa chafu kiasi cha yeye pia kuonekana mchafu anapochukua hatua ya kuondokana na ile sehemu chafu hapo jawabu ni kwamba sasa anahitaji kujitambulisha kama mtu safi na kwa kauli yake mwenyewe amefichua kile kilicho jiri kuhusu RICHMONDI sasa mpaka hapo dr slaa hawezi kuwa mwepesi kiasi hicho,anatambua kazi yake nikupambana na ccm nasio mtu anayejiunga chadema
:welcome:
 
Leo habari kubwa ilikuwa "Dr.Slaa ajiuzulu chadema" hiyo habari kumbe ni uzushi na uzandiki wa hali ya juu, hakuna kitu kama hicho, waandishi wawe makini sana kwani kwa sasa hata hao maofisa wa Chadema wanawapa taarifa za uongo pengine ili kuyashushia hadhi baadhi ya magazeti.
 
  • Thanks
Reactions: MTK
11800604_921554114583445_450174014289383186_n.jpg
 
HahahahaHahahahaHahahahaHahahaha
Dr. Slaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
KAMANDA wa moyo wangu nakupenda sana mwanamageuzi wangu.
I love you Dr. Slaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Back
Top Bottom