samirnasri
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 1,388
- 215
hakili ni nywele kila mtu anazake! kwa kuwa wapambe wapo Dr slaa atavimba kichwa na kujiona shujaa,haya mshangilieni.
kwa wazalendo wa kweli wala hatuhitaji kufika huko kote. Mie naona kama ni hatua ya mbali mno,kuna post moja nimesoma kuwa chadema inapewa za kufanya hayo yanayoendelea na German na chama cha rep cha usa, ivi kwa uzalendo wetu kwanini tusiwaone hawa wadhamini wa chadema kama ni adui yetu? Inasikitisha sana kushabikia vurugu, eti tunasubir Dar, eti sisi tupo nyuma yenu, haya si maneno yakusemwa na mpenda nchi.kwanini rep hawayafanyi hayo marekani? tuache urimbukeni jamani. hiyo pesa bora wangeiwekeza katika majimbo ambayo wameshika na halimashauri zote zilizopo chini ya chama.Slaa hataki kukubali kama njia waliyodanganywa haikuwa nzuri kwahiyo anajibakiza kwenye msimamo. Na kitu slaa alichowin kwa wanacdm ni brain control kiasi kwamba hata akiongea vepa akili ya mwanacdm haiko tayari kupambanua hilo. kwa mfatiliaji wa isue ya libya anaweza pambanua kuwa uongozi ni jaa, pale libya maji ni bure, kusoma bure,umeme bure, ukioa unajengewa nyumba ya vyumba vi3, wananchi ambao wanakuwa hawajapata kazi wanaposho wanalipwa dola500 per day, lakini pamoja na haya yote wananchi wamerubuniwa na marekani na sasa wanaandamana kumtoa, na marekani wamepeleka manowari 3 kwa ajiri ya kumng'oa mbona hawajapeleka Ivory cost? jamani tuache ushabiki wa haya mambo, hapo ugomvi hautokuwa baina ya chama na chama itakuwa ni baiana ya watanzania watupu, je tunahitaji hayo? au je njia hiyo itatuletea mabadiliko tunayohitaji?
Mbona unalia lia kama Chiligati.kwa wazalendo wa kweli wala hatuhitaji kufika huko kote. Mie naona kama ni hatua ya mbali mno,kuna post moja nimesoma kuwa chadema inapewa za kufanya hayo yanayoendelea na German na chama cha rep cha usa, ivi kwa uzalendo wetu kwanini tusiwaone hawa wadhamini wa chadema kama ni adui yetu? Inasikitisha sana kushabikia vurugu, eti tunasubir Dar, eti sisi tupo nyuma yenu, haya si maneno yakusemwa na mpenda nchi.kwanini rep hawayafanyi hayo marekani? tuache urimbukeni jamani. hiyo pesa bora wangeiwekeza katika majimbo ambayo wameshika na halimashauri zote zilizopo chini ya chama.Slaa hataki kukubali kama njia waliyodanganywa haikuwa nzuri kwahiyo anajibakiza kwenye msimamo. Na kitu slaa alichowin kwa wanacdm ni brain control kiasi kwamba hata akiongea vepa akili ya mwanacdm haiko tayari kupambanua hilo. kwa mfatiliaji wa isue ya libya anaweza pambanua kuwa uongozi ni jaa, pale libya maji ni bure, kusoma bure,umeme bure, ukioa unajengewa nyumba ya vyumba vi3, wananchi ambao wanakuwa hawajapata kazi wanaposho wanalipwa dola500 per day, lakini pamoja na haya yote wananchi wamerubuniwa na marekani na sasa wanaandamana kumtoa, na marekani wamepeleka manowari 3 kwa ajiri ya kumng'oa mbona hawajapeleka Ivory cost? jamani tuache ushabiki wa haya mambo, hapo ugomvi hautokuwa baina ya chama na chama itakuwa ni baiana ya watanzania watupu, je tunahitaji hayo? au je njia hiyo itatuletea mabadiliko tunayohitaji?
Alisema, kama Serikali inaona maandamano wanayoyafanya yanavunja sheria ya nchi hakuna haja ya kukiadhibu Chadema, bali yeye na Mwenyekiti wake Mbowe wakamatwe.
"Naomba waache kukiadhibu chama, naomba wanitafute mimi na Mbowe watukamate tupo tayari kukamatwa kwa ajili ya kutetea wananchi," aliongeza kusema.
Full Story: Home
SOURCE: NIPASHE, Jumapili, 06th March 2011.
Sielewi ni kwanini Dr. Slaa ana hofu ya Chadema kuadhibiwa, sielewi hii hofu yake inatoka wapi?
Na ni kwanini anadhani ni yeye na Mbowe tu ndio wanaopaswa kuchukuliwa hatua? ina maana maandamano yalikuwa ni ya Dr. Slaa na Mbowe na sio ya Chadema? ina maana viongozi wengine wa Chadema walikuwa ni wafuata mkumbo tu? i dont get it!!
Kwa namna yeyote Katibu Mkuu wa Chadema hapaswi kuridhia kwa namna yeyote hatua ya serikali kuwachukulia hatua viongozi wa Chadema kwani kama ni sahihi kuwachukuliwa hatua viongozi wa Chadema kwa viwango vyovyote ni sahihi pia kuichukulia hatua Chadema, he should know this!!
Rudia kusoma kwa utulivu utaelewa kaka
Mkuu chama ni cha wananchi, yaani watanzania wote wanaokubaliana na sera zake.. Kukifungia chama ni sawa na kukataa kuwepo kwa mrengo wa kati kushoto hivyo maadam tatizo ni maandamano ambayo yaliandaliwa na uongozi wa Chame basi wao ndio wakamatwe kama vile ukipinga CCM kwa utawala wake na ufisadi haina maana tukifungie chama madarakani CCM haina maana tukifungie chama kwa makosa ya JK na viongozi wenzake..Rudia kusoma kwa utulivu utaelewa kaka
Sielewi ni kwanini Dr. Slaa ana hofu ya Chadema kuadhibiwa, sielewi hii hofu yake inatoka wapi?
Na ni kwanini anadhani ni yeye na Mbowe tu ndio wanaopaswa kuchukuliwa hatua? ina maana maandamano yalikuwa ni ya Dr. Slaa na Mbowe na sio ya Chadema? ina maana ndani ya Chadema ni Dr. Slaa na Mbowe tu wenye uchungu wa kutetea umma? ina maana wale viongozi wengine wa Chadema walikuwa ni wafuata mkumbo tu kwenye hili? huku ni kuutafuta umaarufu binafsi badala ya umaarufu wa Chama na hili sio jambo zuri katika kujenga chama!!
Katibu Mkuu wa Chadema hapaswi kuridhia kwa namna yeyote kitendo chochote cha serikali kuwachukulia hatua viongozi wa Chadema kwani kama ni sahihi kuwachukuliwa hatua viongozi wa Chadema kwa viwango vyovyote ni sahihi pia kuichukulia hatua Chadema, he should know this!!
Kuna post nilindika baada ya bunge kuahirishwa yenye headingKatibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbroad Slaa amejibu mapigo ya Chama cha Mapinduzi(CCM) na kusema kuwa Chama chake hakitasitisha maandamano yanayoendelea katika mikoa mbalimbali nchini na kwamba yupo tayari kwa lolote.
........
Kwa msisitizo akasema kuwa yeye na Mwenyekiti wake Freeman Mbowe wako tayari kwa lolote hata kama ni kukamatwa kwa ajili ya kutetea maslahi ya Watanzania.
.......
Hata hivyo, Dk. Slaa alisema CCM ndio inasababisha vitendo vya uvunjifu wa amani nchini kutokana na Serikali yake kutowajali wananchi maskini, hivyo lawama hizo hazipaswi kwenda kwa viongozi wa Chadema waliojitolea kufa kwa ajili kupiga kelele kwa kukataa ukandamizwaji huo.
"Mimi sina hofu na kauli wanazozitoa CCM, waache wapige kelele kwani inaonyesha ni jinsi gani serikali ilivyoshindwa kuongoza na sasa wanahitaji huruma za wananchi ambao kwa miaka mingi wamenyimwa haki zao," alisema Dk. Slaa.
Aliendelea kusema "Nchi ni sawa na tunda la amani, lilokuwa juu ya mti unaoitwa haki, nashangaa sana CCM inavyopaza sauti juu ya amani pekee ikiwa inakakataa kutoa haki, tunachohitaji ni haki ifanyike."
Hata hivyo, alisema kabla ya kwenda kushtaki kwa wananchi kwa njia ya maandamano katika mikoa mbalimbali, walitumia wabunge kuilalamikia Serikali ndani ya Bunge juu ya malipo ya Dowans, Kagoda na Meremeta, lakini serikali ilikataa kutoa majibu. Alisema, kama Serikali inaona maandamano wanayoyafanya yanavunja sheria ya nchi hakuna haja ya kukiadhibu Chadema, bali yeye na Mwenyekiti wake Mbowe wakamatwe.
Alimtaka Kapteni Chiligati kujifunza sheria na kusoma Katiba ya nchi kwanza kabla ya kuanza kutoa vitisho ambavyo vinaweza kuipeleka nchi katika sehemu mbaya.
"Naomba waache kukiadhibu chama, naomba wanitafute mimi na Mbowe watukamate tupo tayari kukamatwa kwa ajili ya kutetea wananchi, kinyume cha hapo moto huu hautazimika hadi kieleweke," aliongeza kusema.
Full Story: Home
SOURCE: NIPASHE, Jumapili, 06th March 2011.
This also is supposed to be great thinking! Bwa ha ha haaa! CCM haiishiwi watetezi uchwara.