Hata hivyo, Dk. Slaa alisema CCM ndio inasababisha vitendo vya uvunjifu wa amani nchini kutokana na Serikali yake kutowajali wananchi maskini, hivyo lawama hizo hazipaswi kwenda kwa viongozi wa Chadema waliojitolea kufa kwa ajili kupiga kelele kwa kukataa ukandamizwaji huo.
"Mimi sina hofu na kauli wanazozitoa CCM, waache wapige kelele kwani inaonyesha ni jinsi gani serikali ilivyoshindwa kuongoza na sasa wanahitaji huruma za wananchi ambao kwa miaka mingi wamenyimwa haki zao,"
Aliendelea kusema dkt slaa
Full Story: Home
SOURCE: NIPASHE, Jumapili, 06th March 2011.
uvunjifu wa amani unaofanya na ccm ni kama walivyofanya mubarak na ben ali wa misri na tunisia. We huwapi wananchi huduma muhimu then unataka wakae kimya. Kama mnajiuliza mfanyeje nendeni mkapate uzoefu wa misukosuko kwa ben ali na mubarak sio kuwatishia mbowe na dkt slaa. Ushauri kwa ccm timizeni mahitaji muhimu kwa wananchi na kujibu tuhuma zote zinazo wahusu (jambo ambalo najua hamuwezi coz nyie ndio wahusika wakuu wa wizi na ujambazi wa mali za watanzania).
hakili ni nywele kila mtu anazake! kwa kuwa wapambe wapo Dr slaa atavimba kichwa na kujiona shujaa,haya mshangilieni.