Dk. Slaa aizidi ujanja CCM

Aliwabeep CCM wakapiga jamaa akakata simu. Bomba Shitambala, wewe mwanaume kweli, huna tamaa, ni wachache viongozi wenye uzalendo wa kweli kama wewe.
Kwa ccm kiongozi kutuhumiwa halafu akajiuzulu kupisha uchunguzi ni ndoto, labda kwa mtutu wa bunduki.

Aliwabeep CCM ( CHAMA TAWALA KILICHO SHINDA KWA KISHINDO) wakapiga (AAAAH WAPI WEWE, ULIMUONA ?) jamaa akakata simu. Bomba Shitambala (KADA WA CCM), wewe mwanaume kweli (KWA HIYO WEWE SIO MWANAUME? MBONA UNAMSIFIA MWANAMUME MWENZAKO, KULIKONI ?), huna tamaa, ni wachache viongozi wenye uzalendo wa kweli kama wewe (WAPO WENGI SANA , NI WEWE HUJAWAONA).
Kwa ccm (CHAMA TAWALA KILICHO SHINDA KWA KISHINDO) kiongozi kutuhumiwa (UKITUHUMIWA WAENDA MAHAKAMANI SIO USAFISHWE NA CHADEMA) halafu akajiuzulu kupisha uchunguzi ni ndoto, labda kwa mtutu wa bunduki (CCM WANASHINDA KWA KURA ZA WANANCHI SIO BUNDUKI)
 
Back
Top Bottom