Dk. Slaa aibuka na Nyaraka za SIRI

Bado unapoteza muda wako kwa huyu. Hamna kitu huyu.
 
Muda si mrefu Watanzania watasema sasa inatosha. :redface:
 
Tony Blair; Legally, absence of evidence is not the evidence for absence of evidence.
 
Kama unayo kweli muzee bora uwataje tu tujue moja. Maana tumechoshwa na haya mafisadi yasiyo na huruma na uhai wa viumbe wenzao.
 
Inabidi mafisadi wote watajwe mapema kabla ya uchaguzi ili wajiondoe wenyewe ili wasiendelee kuhujumu mali za umma!
 
aiseee! Baba yangu dr.slaa na dr kikwete mbona majina yao ya mwanzo yanafanana (dr) lakini maamuzi wanayofanya ni tofauti.dr ipi ndio inadhamani ya jei kei au ya slaa?

Naombeni majibu kabla sijamaliza mbege.
hapo kuna doctor wa shule na doctor wa uchochoroni mkuu.
 
Majangiri/maharamia na majambazi wanadocument mission zao? yaani wana take minutes na kuandika action plan, i am trying to figure out hizo nyaraka who generates. Manake tunasikia mengi sasa inabidi tuwe tuna reason japo mahaba yetu yametuzidi mno.
 

Khaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!! kumbe ni dili nzuri hivyo mzee??? Na pembe moja inafika Kgm ngapi kwa faru mkubwa??? Aiseeeeeeeeeeeee yawezekana wauzaji ni wazee wenyewe kama bei yake ndo hiyo Khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!
 
CCM maliza nchi, wanasema wanahakikisha wanaiachia CDM nchi isiyokuwa na kitu ila cha ajabu ni kwamba wao na watoto wan na ndugu zan wanabaki kuishi hapahapa Tz
 
Dokta tunza hizo nyaraka mpk 2015 sio mbali sababu ukiwataja sasa utambiwa ushahidi hautoshi.2015 CDM ikikamata nchi tunakusanya mijizi yote kuanzia EPA,RADA,MEREMETA,KAGODA TUNAMALIZIA WA FARU wote ukonga hadi wale watakaokuwa na kinga hatuangalii sura.
 
dr. Slaa ni tapeli la kimataifa, likitudanganya tukirigundua linakaa kama miezi 6 hivi. Halafu anakuja na mpya. Mbona hasemi rushwa anaochukua zito? Au kwa vile jioni wanagawana. Mbona hasemi juu ya wachaga kujipawia UBUNGE WA VMAALUM NA KUTUACHA WASUKUMA TUKISUGUA BENCH PAMOJA NA KUKIBEBA CDM KWA KURA! Mbona hasemi juu ya kufisadi mke wa mtu huku akimwacha mama slaa na kutelekeza watoto 2. Mbona hasemi alishirki kum/poteza camanda chacha wangwe. Akitupa wana cdm majibu hayo tutamwamini anayosema. Slaa nakukumbusha kudai nyöngeza ya mshahara wa bunge maana wewe unalipwa kama mbunge wetu bila huruma wala aibu. M4c
 
Safi sana! Big up Dr wa ukweli.
Hahaha River rejuvination ni topic niliyoipenda sana A-Level lakini haikutoka kwenye mtihani wa taifa sasa DR anataka kuitoa bila hata supervision, safi sana go on huko maliasili ni uozo mtupu
 
Dr wa ukweli ednelea kuchanja mbuga
 

Naona magamba yameishaanza kubana huyo ndio Dr. safari hii mtasema yote bila kuulizwa.
 
Majangiri/maharamia na majambazi wanadocument mission zao? yaani wana take minutes na kuandika action plan, i am trying to figure out hizo nyaraka who generates. Manake tunasikia mengi sasa inabidi tuwe tuna reason japo mahaba yetu yametuzidi mno.

kwani Richmond document zake zilikuaje hapo hukumbuki ? Sasa unashangaa za faru?
 
Bila shaka huyu mzee anatembea na sanduku la document za siri,naona zimekuwa nyingi sana. Kina Zitto wanakuja na mambo mapya yeye kakalia stori za document za siri. Hili ndio tatizo la wazee,wao ni mambo ya kizamani zamani tu.
 
Na wewe. Wimbo wako huu huu kila siku. CD haichuji tu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…