Kinga kingdom
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 769
- 847
True bro Kumbuka kuwa kwa nchi Kama canada hawezi fanya kazi moja, utakuta anafanya kazi zaidi ya moja!!! So he makes a lot of moneyNi kweli kabisa, mshahara wake ni mkubwa sana ukilinganisha na mshahara wa mtu wa nafasi kikazi kama yeye kwa nchi za Afrika. Lakini kumbuka kuwa, kule maisha ni a ghali sana. The more you earn the more you're forced to pay.
Kwann tubwabwaje mishahara ya watu!! We jua analipwa Poa saanaTutajie wewe unaeujua huo mshahara mkubwa
Hahahah! Mkuu umeua!Na akidokoa biscuit kamera ikammulika kanjubhai hatojihoji mara mbili zaidi ya kumtimua! Sijui ataishije maskini.
Weka data acha tantalila,weka na gharama za maishaHivi mnadhani supermarket Za Canada ni sawa na za Hapa bongo?
Huo mshahara wake wenyewe hata hakuna mfanyakazi wa bongo anaweza ufikia.....
Acha uongo.
Okw boban Sijawahi tofautiana na wewe mkuu!!! Kisiasa na kimichezo!!! Najaribu kuangalia life ya Canada na bongo je unadhan Dr atakua analipwaje?? Ngoja kwa Pamoja tutafute data hope atakua analipwa Poa sanaWeka data acha tantalila,weka na gharama za maisha
Age yake hairuhusu kazi nyingi bro. Actualy ningekua yeye ningerudi mbulu nikapumzika tu. Kuishi ulaye na umri wake ni very frustrating. Hapa ccm wangempa ujumbe wa bodi and so forth maisha yangeendrlea.True bro Kumbuka kuwa kwa nchi Kama canada hawezi fanya kazi moja, utakuta anafanya kazi zaidi ya moja!!! So he makes a lot of money
Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
Kikwete akauze duka? Yule mzee achana nae.... Yule hawezi kufa njaa kama Dr,Mbona ni kiwete anaweza kufanya hiyo kazi?
Hacha kupotosha uma. Ameajiriwa kama Sales Officer au kwa kiswahili ni Afisa Mauzo.Kwa kiswahili fasaha, Dr.Slaa ameajiriwa kuuza duka la mtu huko Canada. Ni muuza duka.
Hongera Dr.Slaa.
Nyie ndio mnajua kila aliepo ulaya na america wanapesa.Kwann tubwabwaje mishahara ya watu!! We jua analipwa Poa saana
Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
walimtapeli, kama lipumba, nani ampe 50bil wakati huku hata mishahara ya wajeda ni issue??50bil ishakata? Angebaki hapa halafu akajenga kiwanda cha hizo bidhaa za majumbani si angefanya exportation mpaka huko Canada kwenye hiyo min supermarket? 50bil si haba hasa kwa MTU wa rika lile.
Hili neno officer huwa mnafikiria ni cheo kikubwa sana kumbe hata mlinzi ni officer. Officer ni kuwa na mamlaka ya kitu Fulani mfano security officer ni kuwa yeye ndie anahusika na ulinzi na ukiambiwa sales officer ni kuwa yeye anahusika na mauzo.Hacha kupotosha uma. Ameajiriwa kama Sales Officer au kwa kiswahili ni Afisa Mauzo.
Mke wake alimshauriHivi ni kwa nini anaishi Canada? Kwani alikimbizwa? Mbona wenzake Mrema, Lipumba na Seif wapi nchini hata baada ya mission accomplished?