Dk. Slaa aajiriwa supermarket

50bil ishakata? Angebaki hapa halafu akajenga kiwanda cha hizo bidhaa za majumbani si angefanya exportation mpaka huko Canada kwenye hiyo min supermarket? 50bil si haba hasa kwa MTU wa rika lile.
50bilion! Nani ampe hizo hela?
 
Reactions: SDG
Habari zenu jukwaani. Dr slaa anafanya kazi supermarket kama ofisa mauzo wa vyombo vya nyumbani huko Canada. Anasema ili uishi huko ni lazima kufanya kazi. Adai hata watumishi wa serikali nchini humo wakitoka kazini huosha vyombo vya majumbani mwa watu kuongeza kipato chao. Source magazetini leo
 
Acha ale mafao yake....amepumzika kwa pesa ya kuuza utu wake....sasa pesa zimepungua lazima ale kwa jasho.....!! Mnafiki San huyo babu...acha tu ameuza utu wake kw pesa
Thibitisha kauli yako kaka
 
Hivi ni kwa nini anaishi Canada? Kwani alikimbizwa? Mbona wenzake Mrema, Lipumba na Seif wapi nchini hata baada ya mission accomplished?
 
Hakupata bili 50,aliwekewa kwenye akaunti 2b alivyoenda kuchota akakuta milioni 2!akauliza why akaambiwa aliyeweka 2b anasema alikosea sifuri 3,Dr. alilia sana lakini tayari alishajiuzuru.chezea sisiyem

Acha uongo.
 
Kwa vyovyote vile Dr.Slaa huenda atakuwa ameshinikizwa na mkewe kufanya hiyo kazi. Yule mkewe sio wa mchezo mchezo aisee, sijui kamlisha nini yule mzee?

Na unaweza kushangaa mkewe ametulia zake ndani bila kazi huku akitafuna mkwanja wa jasho la Dr.Slaa bila huruma.

Mshumbusi Mungu anakuona aisee!
 
Thibitisha kauli yako kaka
Kalaghabahooooo!!!! Unafikiri anapenda kwenda kuosha vyombo na uzima ule ulaya...ulaya.. . Hapendi apumzike na kucheza wajukuu umri huu?? Unafikiri kijana yule eti anatafuta maisha ulaya??? Jiongezee kidogo tu....ni unafiki ule unamfanya awe kama popo sasaa!!!!
 
Daktari ni msomi na alikuwa katibu mkuu wa chadema.
Naomba kujuzwa. .. Huko canada yuko kama mkimbizi au anasoma..??kama ni mkimbizi ni makosa gani kayafanya na kama anasoma kwa nini asipewe mkopo..
Unajua ni daktari wa nini?....... Muulize ff!!
 
He will never rise again
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…