Dk shein,seif iddi,maalim seif fanyeni uchunguzi wizi huu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dk shein,seif iddi,maalim seif fanyeni uchunguzi wizi huu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Malaria Sugu, Apr 10, 2011.

 1. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2011
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mapesa ya waznz yaliliwa kambi ya Kibweni 2005, watu walifukuzwa kazi . kumbe kesi ilipoisha na hakimu alisema Walioba sio waliohusika, ushahidi ulitungwa, sheria ziliborongwa. na baya zaidi alisema huu ni mchezo wa kuigiza umefanyika na wakuu wa kmkm" waliohusika wanajulikana bado wapo kazini ambae Mkuu wa KMKM inaonekana anawajua Mh Nyanga anawajua. Pia FAYA pesa zimeibiwa chini ya Nyanga. Nyanga alionywa na baraza la wawakilishi kuwakamata wahusika. akakataa, eti akimuogopa mkuu wa Kmkm na mkuu wa FAYA.watamnyima kura za uwakilishi

  hapa ni wazi kwamba mkuu wa KMKM na mkuu wa FAYA wanahusik. BAYA Zaidi huyu mkuu wa kmkm alijinataka kwamba Yeye na Mama shadia ni ndugu anafanya analotaka nchini. kwa hivyo kufukuz kazi kwake watu anaowataka yeye ni jambo dogo hata sheria hafuati. tumeona kilichotokea.
  Serekali imepoteza mill 300 na huku kesi nyengine zikiendelea.inawezekana gov ikapoteza zaidi ya mill 500 pesa za walipa kodi, waliohusika wanaendelea kutembela magari makubwa ya waznz
  Maalim seif
  Dk shein fanyeni uchunguzi wizi huu
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  mhhh mbona unaandika kama unakimbizwa ...yaani umenivuruga kabisa...mara kmkm,mara mama shadia,mara nyaga,mara sijui kambi ya kimbweni mara warioba...hebu andika uzuri kwanza maana mi nasoma naona naenda mchomo amiiii
   
Loading...