Mdakuzi mkuu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 212
- 719
Salam ndugu zangu watanzania.
Rais wa Zanzibar, Dk All Mohammed Shein amesema hawatishiki na visiwa hivyo kukatiwa umeme kutokana na deni wanalodaiwa na TANESCO,na kwamba wapo tayari kutumia vibatari. Ameyasema hayo katika uwanja wa ndege wa Zanzibar alipowasiri akitokea nchini Indonesia kuhudhuria mkutano.
Aidha Dk Shein amesema kwamba, deni hilo siyo la leo wala jana.
Ikumbukwe kuwa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesisitiza TANESCO kuwakatia umeme wale wote wanaodaiwa na Shirika hilo bila kujali jina la mtu wala taasisi yoyote. Hata kama Ikulu au Zanzibar wanaidaiwa wakatiwe tu.
Je, Ikulu na Zanzibar wanadaiwa na TANESCO? Na kama wanadaiwa, je watakatiwa?
Yetu macho na masikio.