Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,022
- 144,379
Huu mtifuano utatupeleka shimoni.Ufaransa (French) inaleta watalii wengi sana Tanzania (Middle class) na Luxury wachache..... French Travel Agents reacted on sudden VAT...Abrupt kukurupuka ...French people do plan travel budget, Is not like Kuongeza bei ya sukari
Foreign body wades into tourism tax row
UK nao wamecomplain......TATIZO sio kulipa VAT, tatizo ni ghafla kukurupuka
{{metaTags.other['og:title']}}
Dr. Mpango anachukua ushauri Kenya
Maghembe anasema hafuati mambo ya Kenya....maana Kenya sio Koloni letu
Je..Rwanda ni Coloni letu?
Mwendo Kasi Economy Tourism
VAT Mwendo Kasi
mnh.....kali.
Lakini kwani hao wazungu shida yao nini si walipe kodi tu!!!
WATANZANIA TUNAPENDA SANA MTEREMKO,EMBU TULIPEGE TU HIZO KODI ILI TAIFA LIPATE MAPATO YA KUTOSHA KUJIENDESHA KULIKO KULIALIAL TU BIAL SABABU YA MSINGI,MIMI NADHANI MUHIMU HAPA NA HIVI VILIO VYETU VINGEKUWA NA TIJA KAMA TU SERIKALI AMBAYO HIVI SASA INAKUSANYA KODI KILA MAHALI IKASHINDWA KUHAKIKISHA WALU KILA KIJIJI KINA KUWA NA ZAHANATI YA UHAKIKA HADI IFIKAPO MWAKA 2020,IKASHINDWA KUHAKIKISHA MAISHA YA WATUMISHI WA UMMA YANAKUWA NAFUU HADI MWAKA 2020,UCHUMI WA NCHI UNAKUWA IKIWEMO MIUNDOMBINU YA KISASA HADI MWAKA 2020,HAPO TUNAWEZA KULIA TENA SANA NA TUTAMLAAMI ALIYEPANDISHA KODI THEN PESA ANAKULA YEYE BADALA YA KUZITUMIA KWA JAMII,ILA KWA SASA CHAPA KAZI LIPA KODI KILA INAPOSTAHILI
Ukiambiwa siku hizi chupi inavaliwa kichwani utavaa? unapokea ushauri wa kibiashara kutoka kwa mshindani mwenzio tena mwenye mtaji mdogo na wewe unakubali!! kumbe sisi bado sana tena sana yani hatuchanganyi na zetu.mikurupuko ya mwendokasi
Kuna watu wanatakiwa kuongozwa milele. Naamini na nitaamini hili mileleUkiambiwa siku hizi chupi inavaliwa kichwani utavaa? unapokea ushauri wa kibiashara kutoka kwa mshindani mwenzio tena mwenye mtaji mdogo na wewe unakubali!! kumbe sisi bado sana tena sana yani hatuchanganyi na zetu.
ni kweli,ingefaa kuwa hivyo mkuu,ila nadhani ni suala la muda tu na kuwaelewesha hao wadhungu ili wajue kuwa hali ya mambo imebadilika ,kama hawataelewa inawezekana wakaja hata hiyo mwakani pamoja na wenzetu wale wake kiratiba ,ila kama wanania wanakuja tu hata hiyo makani kwani mwaka hata hivyo si umeisha huu?TATIZO sio kulipa ndugu.....Watu wapo tayari kulipa na kodi ni kila mahali duniani...
Tatizo ni kuwa wazungu walishalipia safari zao za Kuanzia July 01 had December 2016....Sasa ukikurupuka Mwendo kasi na kusema mzungu aongeze 18%.....ni kukosa uaminifu....
VAT inatakiwa ianze utekelezaji effectively 2017 July.....
Serikali imepanga kuongeza VAT, sawa.......ni mpango mzuri.......ingeanza mafunzo kwa TRA, na Mamlaka zake zingejipanga kutoa risiti za VAT....... Tuache mwendo kasi
Ujinga peleka kwenuWATANZANIA TUNAPENDA SANA MTEREMKO,EMBU TULIPEGE TU HIZO KODI ILI TAIFA LIPATE MAPATO YA KUTOSHA KUJIENDESHA KULIKO KULIALIAL TU BIAL SABABU YA MSINGI,MIMI NADHANI MUHIMU HAPA NA HIVI VILIO VYETU VINGEKUWA NA TIJA KAMA TU SERIKALI AMBAYO HIVI SASA INAKUSANYA KODI KILA MAHALI IKASHINDWA KUHAKIKISHA WALU KILA KIJIJI KINA KUWA NA ZAHANATI YA UHAKIKA HADI IFIKAPO MWAKA 2020,IKASHINDWA KUHAKIKISHA MAISHA YA WATUMISHI WA UMMA YANAKUWA NAFUU HADI MWAKA 2020,UCHUMI WA NCHI UNAKUWA IKIWEMO MIUNDOMBINU YA KISASA HADI MWAKA 2020,HAPO TUNAWEZA KULIA TENA SANA NA TUTAMLAAMI ALIYEPANDISHA KODI THEN PESA ANAKULA YEYE BADALA YA KUZITUMIA KWA JAMII,ILA KWA SASA CHAPA KAZI LIPA KODI KILA INAPOSTAHILI