Dk. Mwele Ntuli Malecela kuachishwa kazi.

MGAYA kawekwa kama boshori tu, mtu hana ubobez wa magonjwa ya binadamu anapewa kaz ya kuendesha tafiti za kisayansiii..... ambayo yanahusisha maabara etc. tz inamaajabuu.. nadhn kaz yake itakuwa kutangaza tu.... .
 
Tayari taarifa yake ya uwepo wa zika Tanzania imeanza kuathiri biashara ya utalii. Serikali zenye kuwapenda wananchi wao zimetoa taadhari kubwa kuitembelea Tanzania ikiwemo Zanzibar. Nahisi huyu Dr. Malacela katumwa ili kuiharibia nchi yetu katika maswala ya biashara na mambo mengine mengi. Huyu hatofautiani na mhujumu uchumi, isiishie kuachishwa kazi tu kunahaja sheria ichukue mkondo wake ili liwe fundisho kwa wle ambao wanatabia ya kulihujumu Taifa letu. Mheshimiwa Rais anakazi kubwa sana maana maadui wapo kila kona.
 
Ulitaka ukweli ufichwe au? ? sijakuelewa
 
Kitu ambacho hamjamuelewa anko ni kwamba anataka awaridhishe watu wake ndo baadae mambo mengine yafuate kama mtu akitumbuliwa anaendelea kulipwa hakuna kinachoharibika wakishaenea wale ndugu lawama jamaa atatulia lakini atakuwa ame created maelfu ya wafanyakazi hewa apo sekta nyingi zitakuwa na ma ceo wawili mmoja kazini mmoja hewa ilo ni jipu
 
Mi naona kinachotia shaka ni kufuatwa kwa utaratibu wa kutoa matamko/matangazo kutoka kwa taasisi za umma kwenda kwa umma, hususan kwny suala sensitive kama hilo la afya ya rasilimali watu ya Taifa…
Ukitaka kujua nini kilitakiwa kufanywa…nenda uka-review matangaz ya serikal kwenda kwa umma yanayofanana na hili la Zika… Ishu ya Homa yaDengue, ishu ya Homa ya mafua ya Nguruwe, nk…

By the way, nimeielewa concern yako juu ya hil la Zika, kwamba huenda tatizo lipo lakin mamlaka zinazotakiwa kuchukua hatua stahiki hazijafanya hivo, either kw kutoku-acknowledge uwepo wa Zika, au kuogofwa na gharama za kukabiliana na Zika!
 
unajua maana ya endemic?
● of a disease or condition,
Regularly found among particular people or in a certain area.
●ugonjwa, imeenea.

Usipende kutanguliza maslahi ya tumbo, lako mbele ww mmoja na unakubali kuua mamia ya watu, achana na UKADA weka utu mbele.
 
Acha makalio yafanye kazi yake usiyatumie kufikiri, ugonjwa upo mnaogopa nn kutangaza mnataka tufe kama kuku
 
hiyo sh
eria inawahusu waganga wa mikoa na wilaya lakini sio taasisi amabyo kazi yake ni kutafiti kupasha umma na serikali kwa hiyo tusichanganye sharia hiyo inavyosema sharia iliyoounda NIMR mbona hamuileti
Ahsante babylata, lakini tukijaribu kufikiria nje ya box ilikuwa sahihi yeye kutangaza ugonjwa mkubwa kama ZIKA bila kuwasiliana na Wizara/Waziri wa Afya?
 
Ahsante babylata, lakini tukijaribu kufikiria nje ya box ilikuwa sahihi yeye kutangaza ugonjwa mkubwa kama ZIKA bila kuwasiliana na Wizara/Waziri wa Afya?
Ilikuwa ni utafiti ambao ni wa awali na walikuwa wanamesema kabisa kwamba watafanya mwingine wakuhakiki sasa kitu gani cha zika ambacho ni kipya wakati tayari tulishawekwa kwenye alama ya kidunia kwamba tuna zika lakini sio threatening wakati mwingine kunyanysa wataalamu kwa mambo ya kisiasa ni ujinga uliopitiliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…